Nataka kwenda Comoro

Kitty Galore

JF-Expert Member
May 24, 2011
345
100
Kwa mwanaJF aliyepo Comoro au aliyewahi kufika, naomba anipe maelezo ya usafiri, malazi n.k. Ninataka kwenda kwa ajili ya mapumziko, Nimejaribu kugoogle lakini usafiri niliouona wa kutoka Dar ni Air Tanzania na mnajua tena shirika letu hili linapumulia mashine.
Nashukuru kwa ushirikiano wenu, ninaamini hapa nitapata information zilizo kamilika.
 
hapa wanaHQ tunaweza kupata idea........ngoja tuone......
 
Tembelea hapa <a href="http://www.jetcost.co.uk" target="_blank">www.jetcost.co.uk</a> ukishindwa toa feedbak for 2nd option
huko nimekuta ni kutoka nje ya Tanzania, nataka nitoke Dar na nilipe nauli in madafu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom