Nataka kwenda Botswana, natakiwa kuwa na Visa?

kabwinyola

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
560
678
Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko?

Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania?

Naona hapa pananifaa.

Vigezo gani vya kuingia huko?

Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental
 
Kwanza nahisi Nampula ipo Msumbiji Au zipo 2?

Lakin kwanini uhangaike na huko wakati hiyo pesa kubwa unaweza saka life out of there? Duniani

Pitia kwa huyu Video’s hizi zitakusaida

Na hii

Hizi si za wanaokwenda nje ya Afrika? Nisaidie kwa Botswana Kuna jambo
 
Kwanza nahisi Nampula ipo Msumbiji Au zipo 2?

Lakin kwanini uhangaike na huko wakati hiyo pesa kubwa unaweza saka life out of there ? Duniani

Pitia kwa huyu Video’s hizi zitakusaida

Na hii

Hizi si Za wanaokwenda nje ya Afrika? Nisaidie kwa Botswana Kuna jambo in
Wazushi watakueleza nampula iko msumbiji waka hata Botswana ipo
Hawajui
 
Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko?

Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania?

Naona hapa pananifaa

Vigezo gani vya kuingia huko

Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental
Nampula si iko msumbiji mkuu
 
Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko?

Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania?

Naona hapa pananifaa.

Vigezo gani vya kuingia huko?

Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental

Mkuu ukiwa na Passport ya Tanzania kuingia Botswana huhitajiki kuwa na visa! Unapata 90 days on arrival. Kila la heri.
 
Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko?

Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania?

Naona hapa pananifaa.

Vigezo gani vya kuingia huko?

Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental

Jomba huo si mtaji mzuri tu wa biashara?! Kwanini usivuruge kichwa uwekeze hela usubiri ipate mimba badala ya kuhangaika kwenda mbali huko?!
 
Back
Top Bottom