Nataka kwenda Advance nikapige HKL niachane tu na Afya kabisa

funda

Member
May 9, 2020
8
45
Habarii zenuu .. Naombeni ushauri wenu jamani , nime pata Repeat module ya CA clinical assistance , nataka kwenda Advance nikapige HKL niachane tu na Afya kabisa umri wangu ni miaka 20 .
 
20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,825
2,000
Habarii zenuu .. Naombeni ushauri wenu jamani , nime pata Repeat module ya CA clinical assistance , nataka kwenda Advance nikapige HKL niachane tu na Afya kabisa umri wangu ni miaka 20 .
utakuja kusema ningelijua. Komaaaa piga msuli ,CA . Itakubust
 
Mbagala stendi

JF-Expert Member
Nov 8, 2020
214
250
Habarii zenuu .. Naombeni ushauri wenu jamani , nime pata Repeat module ya CA clinical assistance , nataka kwenda Advance nikapige HKL niachane tu na Afya kabisa umri wangu ni miaka 20 .
Kijana fanya uamuzi mzuri kwasababu uamuzi wako wa leo ndio determination yako ya kesho.
Sawa unaenda HKL je una malengo gani na hiyo HKL utakayoenda kuisoma miaka miwili ya ndalichako ?

Na pia je kuna changamoto gani umekutana nayo hadi ukapelekea ufikie katika uamuzi huo.

Naweka kalamu chini.
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
3,221
2,000
Usisome ilimrad umesoma soma kwa kuangalia kitu chenye manufaa kwa baadae, angalia kitu ambacho kitakupa mwanga mkubwa wa kuajiriwa ama kujiajiri.

Saaa hiyo HKL itakusaidia nn kwa dunia ya sasa hiv? Acha maamuz ya kitoto
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,642
2,000
Kuna miaka mitano mingine ya awamu inayoangalia cheti cha digrii.
Nenda kabahatishe huko huenda ukapata digrii baadae ukaajiriwa Tiss,uvccm,ama polisi.
Ukikosa kabisa huko huenda ukawa hata mwandishi wa habari za ukabahatisha ukijifunza vizuri kusifu utawala.
Hiyo CA unayosotea utaishia kukamatwa baadae kama daktari feki
 
kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,112
2,000
Habarii zenuu .. Naombeni ushauri wenu jamani , nime pata Repeat module ya CA clinical assistance , nataka kwenda Advance nikapige HKL niachane tu na Afya kabisa umri wangu ni miaka 20 .
Komaa uchomoe hiyo module, then unga uwe Clinical Officer atleast hapo sio pabaya huku ukijipanga kupiga degree yako, HKL itakupotezea muda kuliko hiyo CA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom