Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,188
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.
 
Bibie,hawa jamaa wazungu wanapenda saana kabla ya kwenda mbele hupenda kuanzia na kijambio yaani kukusukuma utumbo, sasa uko tayari?
 
Kafanye upandikizi, kwa uhakika nenda Nairobi wana uzoefu wa watoto wa kupandikiza.

NB: Hakikisha mwenye hizo mbegu IQ safi sio unapandikizwa mbegu za ajabu ajabu. Michael Jackson yeye alikuwa anapima IQ kwanza waliokuwa wanatoa nbegu za wanae.....
 
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

Go for IVF
 
njoo nikuzalishe_tatizo cna upendo ivo cjui kama nitakufaa?
 
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

Tatizo sasa sijui kama wazungu wanapitiaga hapa...
 
nunua sperm kwenye internet.sinauzwa za kila aina.na huyo baba hutomjua maisha kwa ni sperm tu kwa kwenda mbele.zipo salama kabisa
 
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

Wazungu hawapendi wanawake wanene na wasikuwa na elimu! Pole tafuta wamakonde wenzio
 
Find a sperm bank and you will fulfil ur wishes easily and anonymously.
 
Kafanye upandikizi, kwa uhakika nenda Nairobi wana uzoefu wa watoto wa kupandikiza.

NB: Hakikisha mwenye hizo mbegu IQ safi sio unapandikizwa mbegu za ajabu ajabu. Michael Jackson yeye alikuwa anapima IQ kwanza waliokuwa wanatoa nbegu za wanae.....

ahsante kwa ushauri mkuu.
 
Back
Top Bottom