Nataka kuweka vitu sawa timu ya watanzania haijafungwa bali CCM ndio iliyofungwa

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,867
2,746
Nataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi tulivyoona tunatengwa ikabidi tuwaachie Tim Yao. Sasa wamefungwa wanataka kujifanya ni Tim ya watanzania ndio imefungwa. Kwakweli Viongozi wa chama hiyo ni Tim yenu wala sisi hatuhusiki nayo.
 
Kwa hiyo ulitaka na wewe ukachezee
Mbona ninyi ndo mnalazimisha kila kitu kionekane siasa
 
Kiukweli hatukuwa na maandalizi mazuri kwa timu yetu ya taifa, binafsi niliamini kwamba ni lazima tupoteze game simply because kiki za kisiasa viongozi wetu wameshindwa kutuunganisha sisi kama taifa badala yake wanatanguliza uCCM na uCHADEMA mpaka kwenye mambo yanayohitaji umoja wa nguvu wa watanzania ona sasa matokeo yake
 
Nataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi tulivyoona tunatengwa ikabidi tuwaachie Tim Yao. Sasa wamefungwa wanataka kujifanya ni Tim ya watanzania ndio imefungwa. Kwakweli Viongozi wa chama hiyo ni Tim yenu wala sisi hatuhusiki nayo.
 
Attachments

  • VID-20190627-WA0004.mp4
    2.7 MB
Hatulazimishi. Tulitaka tusibaguane kiitikadi wala kichama katika maswala muhim ya nchi. Kitendo cha kiibatiza Tim ya taifa na kuifanya ya CCM maana yake ni kuwaambia watu hawanahaja ya kuisuport itasaportiwa na chama.
Ni lini ubatizo huo ulifanyika? Au kwa kua Makonda aliongoza hamasa. Niletee video inayoonesha kua timu ya taifa ikibatizwa na kua ya ccm rasmi. Vinginevyo una chuki tuu za kisiasa kumuona dogo ktk hamasa. Hivi wewe unavyoona kwa viwango vya wachezaji wa Tstars tupo AFCON kushiriki tu au kushindana hata kama watu 10,000 wangepewa tiketi kwenda Misri bure kushangilia?
 
Hahaha kumbe ile comments ya chenye uhakika wa kushinda ni CCM tu pekee aliisoma vizuri.

Aache urongo Tanzanian hawajawahi ifundisha Kenya kiswahili
 
Ni lini ubatizo huo ulifanyika? Au kwa kua Makonda aliongoza hamasa. Niletee video inayoonesha kua timu ya taifa ikibatizwa na kua ya ccm rasmi. Vinginevyo una chuki tuu za kisiasa kumuona dogo ktk hamasa. Hivi wewe unavyoona kwa viwango vya wachezaji wa Tstars tupo AFCON kushiriki tu au kushindana hata kama watu 10,000 wangepewa tiketi kwenda Misri bure kushangilia?
Angalia hiyo itakusaidia
 
Acha porojo we binti video hiyo hapo imewekwa post #9

Taarifa hamfatilii mnajitokeza kwenye mijadala tu.
 
Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
Ndio maana imefungwa na watanzania hawaoni uchungu kwasababu ni Tim ya CCM ndio imefungwa
 
Tunachokikataa hapa ni ile tabia ya kuingiza siasa kwenye suala la kitaifa.Huwezi ukaongelea uchama kwenye timu ya taifa.Kuwa na busara mkuu.
Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
 
Hizo tafiti umezifanyia wapi kwamba Watanzania hawaoni uchungu
Unajua tafiti wewe inavyofanywa.? Umekuwa mchama paka unatia kinyaa. Nikuambie tu mimi ninakadi ya CCM na nimjumbe wa almasauri kuu lakini inapakuja mambo ya kitaifa tukaifanya ya kichama nakaa pembeni maana najua mipaka ya chama. Lazima tusiharibu vitu vinavyounganisha utaifa kwa maslai ya chama. Mbaya zaidi unaweza jikuta ni kakereketwa tu ambae hata hatukulipi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom