Nataka Kuwa wa kwanza kudungwa risasi

mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
3,094
4,251
Japo mimi Mzushi lakini kwa hili nimejiapiza kabisa baada ya kusikia kauli ya JK Kuwa tutakiona cha mtema kuni basi mimi nitakuwa wa kwanza kudungwa risasi CCM wakituhubutu kulazimisha Goli la mkono.
 
Hivi JK ni kina nani wanamshauri?? leo alipanic sana hakubeba haiba ya kiongozi mkuu kabisa!!!
 
Duh! Haya bwana, lakini usiombee risasi ya makalio. Wanasema haufi ila unalazwa kifudifudi miezi kadhaa mpaka upone. Uko tayari!!
 
Japo mimi Mzushi lakini kwa hili nimejiapiza kabisa baada ya kusikia kauli ya JK Kuwa tutakiona cha mtema kuni basi mimi nitakuwa wa kwanza kudungwa risasi CCM wakituhubutu kulazimisha Goli la mkono.

Aisee mi ntakuwa wa pili ctakubali kabsa kura yangu kuibiwa na kauli ya Jk imenipa ujasili wa kulinda kura yangu
 
Namimi nasema nitakuwa wapili kuchapwa risasi kwanza nishachoka na maccm

Haupigwi Risasi unapelekwa Segerea, huko Ndoa za Jinsia Moja ni Ruksa, ujifunze kupachika Always kabisa wakati kampeni zinaendela upate uzoefu kabla ya October
 
Mi ntakufa kwa amri ya mungu sio kwa ujinga wa wanasiasa siwezi iacha familia yangu ikiteseka kisa chadema au ccm bora iteseke mi nikiwepo we unaesema utakuwa wa kwanza kupingwa risasi inaweza kuwa una undugu na lowasa au kiongozi yeyote wa siasa koo wakishind unaweza nufaika je mm hata sijulikani na mwanasiasa yeyote!
 
Back
Top Bottom