Nataka kuwa fundi gari ndogo kwa course ya miezi 3, Je itawezekana?

Jul 5, 2017
57
52
Habari wana JF,

Naomba niende kwenye mada nataka kuwa fundi wa gari langu ndogo je itawezekana kwa kujifunza kozi ya ufundi miezi 3. Je ni wapi wanatoa kozi hiyo kwa muda huo, asante kwa watakaonijibu tafadhali.
 
Utapata elimu ya msingi tu (basics) kujua ufundi wote inahitaji uzoefu wa muda mrefu! Kasome walau miaka miwili
 
Unaweza kusoma kwa muda huo ila hutaweza kuwa fundi kwa sababu utahitaji uzoefu na muda huo wa miezi mitatu hautoshi kuwa fundi wa gari za watu.
 
Back
Top Bottom