Nataka kuwa dereva bajaji, naomba ushauri na maoni!

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
655
284
Niko mbioni kuachana na mambo ya kuajiriwa, sasa naitaji kumiliki biashara zangu lakini cha kwanza naitaji kununua bajaji kwa mtu ili niendeshe mwenyewe kusafirisha abiria.

Nini changamoto na faida au hasara kwenye biashara hii?

Kwa wazoefu mnisaidie kujua haya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa makini bango utakaloliweka.


*Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka,
sasa
bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta
bila
mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita
bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake
alikua Kaandika "NIACHENI KAMA NILIVYO,
HII
NDIO STYLE YANGU"*
 
Ni vizuri zaidi ukiwa na fani zote kwa kuanzia bajaj unaendesha jioni na usiku kidogo na weekend yote,usome upepo kwanza.

Pili utuambie kijiwe chako wapi wadau tukuungishe?
 
Kuwa makini bango utakaloliweka.


*Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka,
sasa
bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta
bila
mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita
bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake
alikua Kaandika "NIACHENI KAMA NILIVYO,
HII
NDIO STYLE YANGU"*
😂😂😂
 
Back
Top Bottom