Nataka kuwa dalali, nifanyeje ili niwe maarufu?

Mimi ni mtu wa kutoa feedback always. Nitafanya hivyo ngoja niingie sokoni.

Alafu nilikua nawaza kufungua na frem ndogo kabisa kwa ajili ya iyo issue.

Yaani clients wawe wanakuja ofisini alafu nawapelekea one way

Ofisi ni muhimu, ila isiwe idle, weka M-Pesa etc, weka stationery na kuwe na mtu anafanya kazi ili ukienda kitaa ofisi inabaki wazi. Na hapo ofisini ukiwa na printer baadhi ya picha unaziprint ili wateja wakija unawaonesha printouts ya kazi zilizo sokoni.

Kujitangaza kwenye mitandao ni rahisi kuwafikia wananchi
 
Hili neno aisee.. Nitalifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unataka kujulikana fanya kazi yako kwa uweledi mkubwa ... kuwa mwaminifu ... timiza majukumu yako kwa wakati bila shaka utapata matokeo mazuri
 
Kuwa mwaminifu 120% . hapo utatafutwa na kila mtu. Siku hizi uaminifu ni mtaji pia.
 
Back
Top Bottom