Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

Wamuyaya

Member
Apr 4, 2021
72
68
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo inanipatia kipato kizuri tu...Kwa kifupi, pesa kwangu siyo tatizo sana.

Pia nina mahusiano mazuri tu na ndugu zangu wa pande zote (upande wa wazazi wangu na upande wa wakwe zangu). Namshukuru Mola pia wazazi na wakwe zangu pia wamejaliwa kipato (wanajiweza...siyo tegemezi), hivyo wametupunguzia mimi na mke wangu mzigo wa gharama (kuwahudumia).

Nimetokea kuwa na mahusiano ya karibu sana na MAMA MKWE wangu, alinikubali sana tokea nilipomchumbia binti yake. Na baada ya kuishi na binti yake kwa muda kwenye ndoa yetu, mama mkwe alizidisha kunikubali na kunipenda zaidi (kwa kifupi mke wangu huwa nampenda na kumjali sana... I'm a caring & responsible husband). Mama mkwe amekuwa akinisifu mara kadhaa kwa namna ninavyoijali familia yangu, na ninavyomjali yeye pia.

Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita, tumetokea kuzoeana sana na mama mkwe wangu, na ukaribu baina yetu umezidi kupita maelezo. Imefika hatua frequency ya mawasiliano kati yangu na mama mkwe imezidi hata ile ya mke wangu. Na hapa ndio mwanzo wa changamoto yangu hii, ambayo imenifanya nije kuomba ushauri wenu.

Kutoka na huu ukaribu uliopo baina yetu, imefika hatua mimi na mama mkwe ni kama washikaji tu! Utani baina yetu ni sehemu ya maisha. Huwa hachoki kunisifia, mara utamsikia akinisifu "U r a real gentle man, handsome and caring daddy..binti yangu anaenjoy kuwa na wewe...huwa ananiambia!" "I love you my handsome baby...! Haya ni baadhi ya maneno ambayo mama mkwe amekuwa akiniambia...akinimwagia sifa! Zaidi ya yote, ma emoji yenye makopakopa kwenye chats anazonitumia ni kama yote!

Na mimi huwa najibu mapigo kwa kumsifia pia "Mom nakushukuru kwa kunizalia binti mrembo...mke wangu, Mola amekujalia umefyatua chuma kikali kama wewe mwenyewe vile/photocopy yako...! Akacheka kidogo na kunijibu "Thubuti! Kwangu haingii hata nusu...unanionaje my handsome baby?...Urembo alionao mke wako ni robo tu ya urembo wa mimi mama yake, hata nusu hajanifikia!" Ni kweli mama mkwe wangu ni mrembo ana umri wa miaka 52 sasa lakini ukimuona utafikiri ni binti wa miaka 22. Hakika baba mkwe anafaidi jamani!! Kwa kifupi mama mkwe amefanikiwa kuniingiza mtegoni...nimetegeka sina ujanja. Naona shetani amenikaba na roba ya mbao yenye misumari, nimesurrender!

Mama mkwe anataka tupige show! Natamani kupiga naye show ila nikiangalia kitakachofuata baada ya show, ni mlipuko wa bomu kubwa zaidi ya bomu la atomic, ambalo litaangamiza na watu wasiohusika! Naogopa siku nikija kupiga show ipo siku hii ishu itabackfire! Huwa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Je, mke wangu akija kugundua nimekula yai (mke wangu)kisha kumchinja na kumla kuku aliyetaga yai (Mama yake mzazi). Tena bora angekuwa mama wa kambo ishu ingekuwa nyepesi kidogo! Bila shaka ndoa yangu itavunjika na mke wangu anaweza hata kujitia kitanzi. Nikiwaza hivyo huwa naogopa sana kupiga show na mama mkwe wangu!

2. Je, baba mkwe wangu akija kugundua kuwa nimemla mke wake (Mama mkwe wangu, atajisikiaje? Bila shaka ndoa yake itavunjika anaweza ama akijipiga risasi au akanipoteza mimi au akaondoka na mimi peponi!

3. Je, shemeji zangu na ndugu wa baba mkwe na mama mkwe wangu watajisikiaje siku wakisikia nimemtafuna mama mkwe wangu? Bila shaka watanichukia na kunifanyia kitu kibaya!

4. Je, ndugu zangu (hasa wazazi wangu) watajisikiaje wakijakusikia kuwa mimi nimemgegeda mama mkwe wangu? Bila shaka wataniona mimi ni shetani! Watanitenga!

5. Je, kazini kwangu wakisikia hii habari watanionaje?

6. Je, jamii inayonizunguka ikijakusikia kuwa nimemgonga mama mkwe wangu, itanionaje? Sura yangu nitaificha wapi?

Nikijiuliza maswali hayo na mengine mengi huwa nakosa kabisa hamu ya mbususu. Inafika hatua natamani ningekuwa padri ili nisingekuwa nakula mbususu kabisa.

Kwa kifupi, mama mkwe anataka nimtafune. Nimejaribu kumuuliza maswali hayo hapo juu na mengine mengi lakini hataki kunielewa! Anasema tutafanya kwa kificho sana hakuna mtu atakayejua. Hilo kwangu najua haliwezekani...mapenzi ni kikohozi...za mwizi arobaini! Ipo siku hii ishu itabackfire tu.

Nimejaribu kuchomoka ili niachane naye ili tufike anakotaka twende, amenipiga mkwara mkali sana.

Amesema nikikataa atanigeuzia kibao kwamba ninamtaka kimapenzi, atamwabia mke wangu na baba mkwe wangu kuwa nimemkosea heshima! Chat zangu za mahaba tunazochat naye anasema amezihifadhi, ni kunithibitishia hilo chat zingine za miezi ya nyuma ameniforwadia, ili kuthibitisha kuwa hatanii! Hili nalo nimenipa mtihani na kunifanya nijiulize:

1. Je, nikigoma kumla na akanitangaza kwamba ninamtaka kimapenzi, si aibu itabaki palepale...Na mke wangu akisikia hivyo ndoa si itavunjika?

2. Baba mkwe akisikia ninataka kumzunguka si atanipoteza kabisa?

3. Ndugu zangu na jamii nzima wakisikia hivyo si wataniona mimi shetani tu?

Kwa kifupi, baada ya kuwaza na kuwazua juu ya hili jambo nimeamua kupiga show na mama mkwe. Kwa sababu nikigoma kupiga show, mama mkwe ataniharibia, ndoa yangu itavunjika, ndugu zangu na jamii nzima itanidharau, na naweza kuishia kujimaliza mwisho wa siku! Nimeamua bora nimtafune mama mkwe wangu ili hata nikija kupata adhabu iwe halali yangu, kuliko nikatae kumtafuna bado nije niadhibiwe na kufedheheshwa bila kosa!

Ushauri wako ni wa mhimu sana mwana JF, maana bomu lililotegwa naona litakuwa balaa...litaua na wasiohusika! Amani itawale!
 
Achana kabisa na hio kitu unacheza na kifo,hasara ni nyingi kuliko faida yote uliyojiuliza ndio majibu ya matokeo ya utakachofanya. Mwanamke akishaingiwa na shetani ukosa akili hapo ni pepo la ngono ndo limewakamata, lifukuze kiroho.
 
Ingekuwa ni stori ya kweli ningekushauri usimle mama mkwe wako ila na yeye mwambie meseji zenu unazo na utamwomyesha binti yake jinsi anavyokutishia kukutangaza. Ila kwa kuwa ni Chai basi mkuu fanya unachoona moyo wako unakwambia
 
Sasa unaomba ushauri wa nini wakati ushaamua kwenda kumcharaza bakora mama mkwe wako?
Kwa hili kamwe usije ukamsingizia shetani kabisaaaa.. hujalazimoshwa na mtu, umeamua mwenyewe kwenda kupiga mashine. Nenda kasimamie ukucha mjomba maana baada ya hapo consequences hazitakuacha salama.
 
Ingekuwa ni stori ya kweli ningekushauri usimle mama mkwe wako ila na yeye mwambie meseji zenu unazo na utamwomyesha binti yake jinsi anavyokutishia kukutangaza. Ila kwa kuwa ni Chai basi mkuu fanya unachoona moyo wako unakwambia
Acahana na hii dunia, kama hayajakukuta shukuru.
 
Mimi nilitaka kula beki tatu wife alisafiri nilianza Mdogo Mdogo kimatamanio lakini nimejutia hata nimkute beki 3 yupo uchi, siwezi maana fedheha niliyoipata aisee basi.

Nilitaka kula beki tatu wife alisafiri, aliporudi beki tatu akanichoma akamwambia du unatamani ardhi ipasuke zirudi nyuma siku niliwekwa kitimoto huku wife Kati beki tatu mtu mzima japo niliupanga uongo lakini binafsi najiona hatia aisee tena katoto kadogo nakoweza zaa. Mambo yalienda hadi ukweni asiee, mambo yakasambaa hadi kwao binti aibu kiasi gani hii mtu mzima na heshima zangu

Sitaki kabisa rudia hii kitu ya kula dada wa Kazi aisee hata awe pisi kali. Ushauri wangu acha ndugu kama unajipenda, unapenda mkeo, watoto wako, Jamii yako.
 
Tukushauri kwa kutumia kichwa cha chini kama wewe ulivyo kitumia hadi yalipo kukuta au tuji tahidi kutumia kichwa cha juu
 
Mh acha ndugu, ni mtego mbaya sana, watu wa imani tuna relate na shetani, anakutega, anataka aharibu ulichonacho.(Familia bora na pesa) anasubiri uanguke, ukisex nae tu basi umeharibu maisha yako,na shetani atakudharirisha makusudi, kwa vyovyote vile mkeo atajua, ndugu watajua, upendo utageuka chuki, waweza kuuawa (sababu mkeo anaweza asivumilie au mkweo na akakumaliza), utaandamwa na mikosi na mawazo, utashindwa kufanya kazi zako, utaishia pabaya. Shetani mjanja sana kaka. Ni vitisho tu usiogope hatoweza fanya kitu huyo mama ukimkatalia, kama charts pia zake ziko, hata akijaribu atashindwa Mungu atakulinda sababu umekua muaminifu.
 
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo inanipatia kipato kizuri tu...Kwa kifupi, pesa kwangu siyo tatizo sana.

Pia nina mahusiano mazuri tu na ndugu zangu wa pande zote (upande wa wazazi wangu na upande wa wakwe zangu). Namshukuru Mola pia wazazi na wakwe zangu pia wamejaliwa kipato (wanajiweza...siyo tegemezi), hivyo wametupunguzia mimi na mke wangu mzigo wa gharama (kuwahudumia).

Nimetokea kuwa na mahusiano ya karibu sana na MAMA MKWE wangu, alinikubali sana tokea nilipomchumbia binti yake. Na baada ya kuishi na binti yake kwa muda kwenye ndoa yetu, mama mkwe alizidisha kunikubali na kunipenda zaidi (kwa kifupi mke wangu huwa nampenda na kumjali sana... I'm a caring & responsible husband). Mama mkwe amekuwa akinisifu mara kadhaa kwa namna ninavyoijali familia yangu, na ninavyomjali yeye pia.

Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita, tumetokea kuzoana sana na mama mkwe wangu, na ukaribu baina yetu umezidi kupita maelezo. Imefika hatua frequncy ya mawasiliano kati yangu na mama mkwe imezidi hata ile ya mke wangu. Na hapa ndio mwanzo wa changamoto yangu hii, ambayo imenifanya nije kuomba ushauri wenu.

Kutoka na huu ukaribu uliopo baina yetu, imefika hatua mimi na mama mkwe ni kama washikaji tu! Utani baina yetu ni sehemu ya maisha. Huwa hachoki kunisifia, mara utamsikia akinisifu "U r a real gentle man, handsome and caring daddy..binti yangu anaenjoy kuwa na wewe...huwa ananiambia!" "I love you my handsome baby...! Haya ni baadhi ya maneno ambayo mama mkwe amekuwa akiniambia...akinimwagia sifa! Zaidi ya yote, ma emoji yenye makopakopa kwaye chats anazonitumia ni kama yote!

Na mimi huwa najibu mapigo kwa kumsifia pia "Mom nakushukuru kwa kunizalia binti mrembo...mke wangu, Mola amekujalia umefyatua chuma kikali kama wewe mwenyewe vile/photocopy yako...! Akacheka kidogo na kunijibu "Thubuti! Kwangu haingii hata nusu...unanionaje my handsome baby?...Urembo alionao mke wako ni robo tu ya urembo wa mimi mama yake, hata nusu hajanifikia!" Ni kweli mama mkwe wangu ni mrembo ana umri wa miaka 52 sasa lakini ukimuona utafikiri ni binti wa miaka 22. Hakika baba mkwe anafaidi jamani!! Kwa kifupi mama mkwe amefanikiwa kuniingiza mtegoni...nimetegeka sina ujanja. Naona shetani amenikaba na roba ya mbao yenye misumari, nimesurrender!

Mama mkwe anataka tupige show! Natamani kupiga naye show ila nikiangalia kitakachofuata baada ya show, ni mlipuko wa bomu kubwa zaidi ya bomu la atomic, ambalo litaangamiza na watu wasiohusika! Naogopa siku nikija kupiga show ipo siku hii ishu itabackfire! Huwa najiuliza maswali yafuatayo:
1. Je, mke wangu akija kugundua nimekula yai (mke wangu)kisha kumchinja na kumla kuku aliyetaga yai (Mama yake mzazi). Tena bora angekuwa mama wa kambo ishu ingekuwa nyepesi kidogo! Bila shaka ndoa yangu itavunjika na mke wangu anaweza hata kujitia kitanzi. Nikiwaza hivyo huwa naogopa sana kupiga show na mama mkwe wangu!
2. Je, baba mkwe wangu akija kugundua kuwa nimemla mke wake (Mama mkwe wangu, atajisikiaje? Bila shaka ndoa yake itavunjika anaweza ama akijipiga risasi au akanipoteza mimi au akaondoka na mimi peponi!
3. Je, shemeji zangu na ndugu wa baba mkwe na mama mkwe wangu watajisikiaje siku wakisikia nimemtafuna mama mkwe wangu? Bila shaka watanichukia na kunifanyia kitu kibaya!
4. Je, ndugu zangu (hasa wazazi wangu) watajisikiaje wakijakusikia kuwa mimi nimemgegeda mama mkwe wangu? Bila shaka wataniona mimi ni shetani! Watanitenga!
5. Je, kazini kwangu wakisikia hii habari watanionaje?
6. Je, jamii inayonizunguka ikijakusikia kuwa nimemgonga mama mkwe wangu, itanionaje? Sura yangu nitaificha wapi?
Nikijiuliza maswali hayo na mengine mengi huwa nakosa kabisa hamu ya mbususu. Inafika hatua natamani ningekuwa padri ili nisingekuwa nakula mbususu kabisa.

Kwa kifupi, mama mkwe anataka nimtafune. Nimejaribu kumuuliza maswali hayo hapo juu na mengine mengi lakini hataki kunielewa! Anasema tutafanya kwa kificho sana hakuna mtu atakayejua. Hilo kwangu najua haliwezekani...mapenzi ni kikohozi...za mwizi arobaini! Ipo siku hii ishu itabackfire tu.

Nimechajibu kuchomoka ili niachane naye ili tufike anakotaka twende, amenipiga mkwara mkali sana. Amesema nikikataa atanigeuzia kibao kwamba ninamtaka kimapenzi, atamwabia mke wangu na baba mkwe wangu...kuwa nimemkosea heshima! Chat zangu za mahaba tunazochat naye anasema amezihifadhi, ni kunithibitishia hilo chat zingine za miezi ya nyuma ameniforwadia, ili kuthibitisha kuwa hatanii! Hili nalo nimenipa mtihani na kunifanya nijiulize:
1. Je, nikigoma kumla na akanitangaza kwamba ninamtaka kimapenzi, si aibu itabaki palepale...Na mke wangu akisikia hivyo ndoa si itavunjika?
2. Baba mkwe akisikia ninataka kumzunguka si atanipoteza kabisa?
3. Ngugu zangu na jamii nzima wakisikia hivyo si wataniona mimi shetani tu?

Kwa kifupi, baada ya kuwaza na kuwazua juu ya hili jambo nimeamua kupiga show na mama mkwe. Kwa sababu nikigoma kupiga show, mama mkwe ataniharibia...ndoa yangu itavunjika, ndugu zangu na jamii nzima itanidharau, na naweza kuishia kujimaliza mwisho wa siku! Nimeamua bora nimtafune mama mkwe wangu ili hata nikija kupata adhabu iwe halali yangu, kuliko nikatae kumtafuna bado nije niadhibiwe na kufedheheshwa bila kosa!
Ushauri wako ni wa mhimu sana mwana JF, maana bomu lililotegwa naona litakuwa balaa...litaua na wasiohusika! Amani itawale!
dhambi ipo mlangoni je utaishinda? Shujaa hatishiwi bali husonga mbele akiamini maamzi yake
 
Mimi nilitaka kula beki tatu wife alisafiri nilianza Mdogo Mdogo kimatamanio lakini nimejutia hata nimkute beki 3 yupo uchi, siwezi maana fedheha niliyoipata aisee basi. Nilitaka kula beki tatu wife alisafiri, aliporudi beki tatu akanichoma akamwambia du unatamani ardhi ipasuke zirudi nyuma siku niliwekwa kitimoto huku wife Kati beki tatu mtu mzima japo niliupanga uongo lakini binafsi najiona hatia aisee tena katoto kadogo nakoweza zaa. Mambo yalienda hadi ukweni asiee, mambo yakasambaa hadi kwao binti aibu kiasi gani hii mtu mzima na heshima zangu . Sitaki kabisa rudia hii kitu ya kula dada wa Kazi aisee hata awe pisi kali. Ushauri wangu acha ndugu kama unajipenda, unapenda mkeo, watoto wako, Jamii yako.
Mkeo hana hekima
 
Ndugu muepuke kwa kumkataa kiaina mwambie huwezi piga show au una ukimwi. Au mwambie unahisi mkeo anawafatilia message zenu ameandaa mtego. Au mwambie akupe mda wife atasafiri au mtasafiri hizi ni njia za kumpunguza speed
Uko vzr mwamba nimekusoma bila shaka, inawezasaidia ingawa bado mpini kashika yeye, mimi nimeshika makali. Naogopa kumshirikisha mke wangu juu ya hili jambo. Anaweza panic akaharibu show jumla. Hawa viumbe si unawajua lkn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom