Nataka kuvuka Nina mbuzi, chui na majani nianze na kipi? Kisipotee chochote

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wakuu wakati tunasubiri krismas tujaribu kutafakari I chemsha bongo sisi magreat thinker Karibuni mabibi na mabwana
 
anza na mbuzi na majani vuka muache mbuzi rudi umebeba majani , mchukue chui na majini vuka mchezo umeisha
 
Peleka mbuzi kwanza acha majani na chui! Ukirudi chukua chui peleka kule ila ukiwa unarudi rudi na mbuzi..
Kisha peleka majani then rudi peleka mbuzi..

Hili swali nakumbuka tulikuwa tunaulizana kipindi tuko darasa la Tatu..
Mkuu umechanganya na unazunguka Sana
 
Mchukue mbuzi ..mwache alafu chukua majani. .ukiyaacha mrudishe mbuzi..ondoka na chui. .mwache chui na majani. .baadae kamchukue mbuzi. .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom