Nataka kuvuka Nina mbuzi, chui na majani nianze na kipi? Kisipotee chochote

Unaanza na mbuzi kwanza, halafu unamuacha ng'ambo unarudi Lucilia majani unakwenda nayo, ukifika ng'ambo unaacha majani unarudi na mbuzi kisha unamuacha na kumchukua chui, unaenda nae ng'ambo ukifika ng'ambo unamuacha chui unarudi kumchukua mbuzi.
Hapo utakuwa umemaliza mchezo
 
Anza na mbuzi alafu rudi uje kuchukua majani. Ukipeleka majani rudi na mbuzi. Ondoka na chui muache mbuzi baada ya hapo utarudi kumchukua mbuzi utavuka naye.
Middle wa hivyo vitu vyako vyote ni mbuzi. Hivyo ndiye anayetakiwa uwe naye muda wote.

Over
 
hapo simple tu majani c unayo na yamekauka tafuta kiberit choma hayo majan chinja ile mbuz ichome kula inayobaki mpe hyo chui mkishiba sepa na chui mchezo umeisha hyo nenda rudi nenda rudi unapoteza muda wakufanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom