Nataka kuvuka Nina mbuzi, chui na majani nianze na kipi? Kisipotee chochote

basi we hutaki tu huwezi tafuta kamba hapo bana ? basi mwache mbuzi na majani ayale upunguze mzigo.. mbuzi utamgeuza kitoeo , chui ngozi yake utauza upate hela .. majani miti ipo mingi relax
Hahahaha
 
basi we hutaki tu huwezi tafuta kamba hapo bana ? basi mwache mbuzi na majani ayale upunguze mzigo.. mbuzi utamgeuza kitoeo , chui ngozi yake utauza upate hela .. majani miti ipo mingi relax
Nimeghairi, kwanza hawezi kuna karibu na chui. Atapata wapi ujasiri wa kuwa na nyara za Serikali na tena nyara inayomchukia binaadamu. Anamjua chui au anahadithiwa tu?
 
anza na mbuzi na majani vuka muache mbuzi rudi umebeba majani , mchukue chui na majini vuka mchezo umeisha

Wakuu wakati tunasubiri krismas tujaribu kutafakari I chemsha bongo sisi magreat thinker Karibuni mabibi na mabwana

Umekosea swali. . Na si majani tu, bali ni majani ya mbegu unatakiwa uyafikishe ukapande, kwa hiyo hakikisha unayalinda. Malizia kwamba mtumbwi wako unakubeba wewe na mzigo mmoja tu .Ukizidisha unazama.

Ambapo jibu lake ni hili.

Awamu ya kwanza, Nenda na mbuzi, muache huyo chui wako na majani.

Kamuache huyo mbuzi ng'ambo urudi tena. Safari hii uchukue, majani yako ya mbegu nenda nayo hadi ng'ambo aliko mbuzi.

Ukifikisha majani, yaweke majani umchukue mbuzi, urudi naye hadi aliko huyo chui wako.

Ukifika aliko chui, mwache mbuzi kule, beba fisi umpeleke ulioyaacha majani. Ukifika kule mwache fisi na majani.

Mara ya mwiso rudi kamchukue mbuzi wako mvushe, akaungane na chui wako, na majani yako ya mbegu, then endelea na safari.

Nipe zawadi.
 
1.Anza na mbuzi & majani ukishavuka yaache majani rudi na mbuzi....(ukimuacha nyuma chui atamfanya kitoweo]
2.vuka na chui ukifika muache huko hawez kula majani
3.vuka na mbuzi...mchezo kwisha
 
Umekosea swali. . Na si majani tu, bali ni majani ya mbegu unatakiwa uyafikishe ukapande, kwa hiyo hakikisha unayalinda. Malizia kwamba mtumbwi wako unakubeba wewe na mzigo mmoja tu .Ukizidisha unazama.

Ambapo jibu lake ni hili.

Awamu ya kwanza, Nenda na mbuzi, muache huyo fisi wako na majani. ( sijui ni wa nini kama siyo wanga),

Kamuache huyo mbuzi ng'ambo urudi tena. Safari hii uchukue, majani yako ya mbegu nenda nayo hadi ng'ambo aliko mbuzi.

Ukifikisha majani, yaweke majani umchukue mbuzi, urudi naye hadi aliko huyo fisi wako.

Ukifika aliko fisi, mwache mbuzi kule, beba fisi umpeleke ulioyaacha majani. Ukifika kule mwache fisi na majani.

Mara ya mwiso rudi kamchukue mbuzi wako mvushe, akaungane na fisi wako, na majani yako ya mbegu, then endelea na safari.

Nipe zawadi.
chukua pipi jojo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom