Nataka kutuma pesa za matumizi ya mwanafunzi India, nitumie njia ipi?

Ni ngumu sana kutoa hela India kwenda nje especially kwa foreigner na kuna wabongo wameanza kuwa mawakala nasikia ukitaka hela huku anakuwa na mtu wake anakupa yeye unampa kule.
Watu washaona fursa tayari
 
Ngoja nikadeal na yule muhindi anayenisumbua na video call messenger...kwanza
 
Nakumbuka nilitumiwaga hela kutoka Omani,yeye sijajua alitumia njia gani,alinitumia risiti tu kwenye wasap akaniambia niende Boa nikaonyesha meseji wakanipatia hela yangu
 
Back
Top Bottom