Nataka kutembelea Amani Natural Reserve

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,897
8,350
Kwa anayejua utaratibu wa kutalii/kutembelea hifadhi ya asili ya Amani,iliyopo Muheza na kupakana na Lushoto tafadhali naomba anihabarishe hapa,shida ni kuwa hata kwenye wavuti waohawana maelezo ya kukidhi haja.Nahitaji maelezo kuhusu ada ya kutalii hapo,makazi ya wageni,watembeza wageni/watalii n.k
 
Back
Top Bottom