Nataka kusoma PHD hapa hapa Tanzania. Je, ni namna gani naweza kupata sponsors

Habari wana JF,Heri ya pasaka!!?
Naombeni msaada ndugu zangu,nataka nianze kusoma masomo ya doctorate,mwenyezi Mungu akijali nataka nianze mwaka huu! Naomba msaada kwa atakaeweza nisaidie jinsi ya kupata sponsors kwa haya masomo! Natanguliza shukrani.
Letrisha.
Una Masters ya nini?
 
yaani kuna watu elimu haijawasaidia kabisa; Hiyo uliyonayo imekusaidia nini hadi utake PHD, au sifa..mihaya mingine kapyaru kweli....Nyie ndo mnaokatisha tamaa watu kusoma...maana elimu zenu hazina impact katika jamii ..
Duuu,asante wangu kwa mchango wako lkn mie sio mhaya!
 
Mie ni mhasibu na pia nafundisha part time ktk universities
kwa hiyo ya kufundisha ni kweli wewe unastahili kusoma...kuna scholarship nyingi huwa zinatangazwa...nikiziona nitakushitua...ila andaa cheti cha lugha kabisa
 
kwa hiyo ya kufundisha ni kweli wewe unastahili kusoma...kuna scholarship nyingi huwa zinatangazwa...nikiziona nitakushitua...ila andaa cheti cha lugha kabisa
Nitashkuru sana mkuu,naomba niwe nakukumbusha! Cheti cha lugha nitakindaa haina shida
 
Habari wana JF,Heri ya pasaka!!?
Naombeni msaada ndugu zangu,nataka nianze kusoma masomo ya doctorate,mwenyezi Mungu akijali nataka nianze mwaka huu! Naomba msaada kwa atakaeweza nisaidie jinsi ya kupata sponsors kwa haya masomo! Natanguliza shukrani.
Letrisha.
Mola akikujaaliya ukimaliza Phd yako
Nakuomba usije ukalilia kama Yule kilaza ex RC wa Morogoro.
Nakuombea dua nyingi ufanikiwe.
 
"Nimekosa Mimi,Nimekosa Mimi,Nimekosa Sana,Nimetoka familia yenye umasikini wa kutisha sina pa kujishikiza" .
 
Ila huyu bwana nikikumbuka huwa nakoswa hata hamu ya kula yaani watu wanasoma tu ili waajiriwe and not being an entrepreneur...
 
Back
Top Bottom