Nataka kusoma PCB mwaka mmoja

Kusoma PCB mwaka mmoja inawezekana. Inategemea na kichwa chako na malengo yako pia.

Ni ngumu mno kupata matokeo makubwa kwa kusoma PCB ndani ya mwaka mmoja! Kama unataka tu div IV ukijitahidi sana III unaweza kujaribu.

Kuhusu past papers tembelea tovuti ya Maktaba tetea... Unaweza search Google.

NB : I assumed that you are serious!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kusoma PCB 1 year naombeni ushauri pia naomba kama unasoma au unaweza nisaidia notes au tuwasiliane plz
Ngoja wana PCB wakuje kukusaidia notes wengine zimepeperushwa na kimbunga jobo
 
Ndugu yangu sikutishi, kwa mwaka mmoja inawezekana kama unataka kupata zero au four ya mbali. Lakini kwa matokeo mazuri soma miaka miwili tena kwa nguvu kubwa sana utafaulu.
 
Back
Top Bottom