Nataka kusoma nje

charleslee

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
408
200
Ndugu zangu
Habari zenu
Napendelea kusoma ulaya, naomba mniunganishe na ma agent wa hzo ishu

Ni watu gani hapa TZ watansaidia kwa uhakika na haraka?
 
Ndugu zangu
Habari zenu
Napendelea kusoma ulaya, naomba mniunganishe na ma agent wa hzo ishu

Ni watu gani hapa TZ watansaidia kwa uhakika na haraka?
Waone Grobal Educational Link wapo hapa Bongo ndo wanahusika na mambo hayo na kutoa ushauri pia.
 
Ndugu zangu
Habari zenu
Napendelea kusoma ulaya, naomba mniunganishe na ma agent wa hzo ishu

Ni watu gani hapa TZ watansaidia kwa uhakika na haraka?
Be specific! Ni level gani kielimu unataka kwenda kusoma? Na ulaya ya wapi labda ili iwe rahisi kupatiwa msaada.
 
Ni vigumu kupata Sponsorship ya kusoma Ulaya Bachelor. Kwa scholarship zipo kibao ila sponsorship ni kimbembe.
Hata master yenyewe ni shughuli kupata sponsorship. Miaka kadhaa iliyopita nilipokuwa naingia mwaka wa mwisho nikifanya Bachelor ktk moja ya vyuo vyetu Tz wenzangu walizitega scholarship ikawa kila ikitangazwa wanapata notification (email) na wana apply. Waliapply tena na tena mpaka tunamaliza chuo hawakuzipata. Mmoja alipata scholarship kama miaka 3 baada ya kumaliza chuo ila akakosa sponsorship.
 
hamna scholarship ambazo zinatoa part sponsorship?
 
hamna scholarship ambazo zinatoa part sponsorship?
Sifahamu uwepo wa scholarship za namna hiyo za undergraduate kwa Ulaya. Labda member wengine watatoa maelezo zaidi. Kwa level ya master scholarship zitangazwazo na vyuo vyetu ni rahisi kupata ukiwa ulikuwa kipanga ktk field yako (GPA 3.8 na kuendelea, out of 5)
 
scholarship inabidi ujipange kuomba. you need to act smart you need to do a lot of research, scholarship haziangalii academic achievements only, they look if you have something extra to give to your community

kuna mtu ameshawahi kuapply scholarship mia moja 20 amepata full funded na 10 half funded
na kuna watu walimaliza ordinary diploma pale dit wakaomba scholarship za scandnavian country wazungu walivyocheki transcript ilivoshiba module kibao wakawapa admission ya masters na scholarship full funded

so yo need to think like a champion when you need to apply for a scholarships
 
Back
Top Bottom