Asante wazo lako nitalifanyia kaziUnaonaje hiyo hela ya masters ukafanyie biashara? Biashara ikikubali ndio ukajiendeleze masters?
poa mkuuAsante wazo lako nitalifanyia kazi
Mkuu mawazo yako ni mazuri ila naomba tu assume niko vizuri unanishauri nisomee Kitu gani ili kukabiriana na changamoto iliyopoajira hamna bd watu wanataka kusoma kwa lengo la kuajiriwa ni wakat wa kubadil mtazamo sasa
nakushaur jiajir kwanza thn ukiwa vizur jiendeleze
uwalimu na profession za afya mfno Dr,Nursing etc ndio zilikuwa kipaumbele cha Serikal kuajir sasa hawaajir kipind hik may be baadae endelea kusoma masters ya ualimu serikal ikitoa ajira utapata na kupanda daraja ni rahis kuwa mkuu wa shule kwaelim yako hiyo ni plan ya baadae ila kwa sasa km huna ajira jiajir tuMkuu mawazo yako ni mazuri ila naomba tu assume niko vizuri unanishauri nisomee Kitu gani ili kukabiriana na changamoto iliyopo
Kweli..mana yeye sio mtoto mdogo..anajua anachotaka kukifanya..ndio mana kaomba ushauri juu ya hilo suala.Mbona mnamkatisha mwenzenu tamaa,ye kajipanga kuchukua masters na we unamuambia anapoteza mda awekeze kwenye kilimo?
Soma issue yoyote in engineering,, hata usundi flani tuu, mradi iwe technicalMbona mnamkatisha mwenzenu tamaa,ye kajipanga kuchukua masters na we unamuambia anapoteza mda awekeze kwenye kilimo?