Nataka kusoma kozi ya health system management

Jun 6, 2019
12
3
Naombeni ushauri,

Nataka kusoma kozi ya health system management pale mzumbe, Nina one ya 9

Je ipo vizuri na naweza pata nafasi?
 
Kama umesoma pcm,egm au pcb


Kasome IT utakuja nishukuru badae
Kila kazi tunakoenda itachukuliwa na watu wa IT
 
Inawezekana ikawa ni kozi nzur coz ina deal na mifumo ya kidigitali ya afya, swali linakuja ajira yake imekaaje hapo ndo shughuli!!
Siku zote nikiwashaur vijana kama nyie nawaambia tafuta kozi ambayo hata ukikosa kazi kwenye ajira rasmi una uwezo wa kutumia skills uliyo nayo na kuipata chuoni kuweza kujiari binafsi
Mf. Ufamasia unaweza kufungua famasi, maabara unaweza kufungua maabara yako binafsi na zinginezo, maana upepo wa ajiri siku hizi haupo vzur so you have to think smart!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom