Nataka kuoganaizi mechi ya soka.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo).
Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama wachezaji wangu halali...
Wazo langu bado ni la kufirika, mnaweza kulipa nyama zaidi ili kulifanikisha. Original idea niliiona mitaa ya Mwananyamala Kisiwani ambako masober walishinda 1-0, wakapata zawadi ya mbuzi mee na kilo 15 za mchele (bila kusahau kreti mbili za soda).
Wakafanya kigodoro cha kusherekea na wakatualika kiroho safi.
Can we?
 
Last edited by a moderator:
moja ya masharti ya mechi ni kwamba kabla ya mechi timu ya walevi lazima wagonge Wanzuki, Heineken, Viroba n.k kabla ya mechi...
 
Hii mechi inabidi tuichezee sehemu nyingine. pale mwananyamala panajaa maji so kama mvua ikinyesha inaweza tuharibia pambano. hii mechi inabidi ichezewe mtaani. kama vipi tufunge ule mtaa wa makochi pale moroco tuweke magoli ikishindikana tuipeleke pale uwanja wa makuti msasani nyuma ya ubalozi wa marekani. mimi nacheza namba 9. baada ya mpira tunakutana pale chato street ofisi za mtaa wa mikocheni/migombani wanatengeneza mdudu vizuri na masanga yapo. chimbo zuri sana. mia
 
Mimi nitakuwa Refa, manake sifungamani na upande wowote kati ya pande tajwa hapo juu...
 
Back
Top Bottom