Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo).
Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama wachezaji wangu halali...
Wazo langu bado ni la kufirika, mnaweza kulipa nyama zaidi ili kulifanikisha. Original idea niliiona mitaa ya Mwananyamala Kisiwani ambako masober walishinda 1-0, wakapata zawadi ya mbuzi mee na kilo 15 za mchele (bila kusahau kreti mbili za soda).
Wakafanya kigodoro cha kusherekea na wakatualika kiroho safi.
Can we?

Last edited by a moderator: