Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Unataka kuoa kazi ya ualimu, cheo cha ualimu, au unataka kuoa mke.kama unataka kuoa mtu kwa sababu ya taaluma yake basi wewe hujafikia wakati wa kuoa
Habar zenu wanabodi. Kumekuwa na fununu kuwa walimu aka maticha ndo watulivu kwa ndoa, hawana mambo mengi na ni watiifu ndomana wanaolewa sana. Yaani wanajua kaa na mwanaume

Jamani kwa wale ambao mmeoa maticha nipeni hints ni kweli wanayosema kuhusu maticha?.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom