Nataka kuoa mrembo wa KIMERU

Status
Not open for further replies.

Benzoic

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
421
149
Wadau nina mpenzi wangu mmeru nataka nimuoe, mwenye idea na requirements za kabila hili anijuze.
 
Lov z undifined n daz nat ask y. Ukiambiwa wabaya utamuacha? Nina wif ang mmeru ni pasua kichwa. Ana kibur, jeur mwongo. Bt mungu kamjalia ni mvumiliv sn. Kuna mke wa kaka mdogo pia mmeru bt ana kila cfa ya kuitwa mke. Btw huwez kujaj tabia za kabila zma kwa ku2mia m2 m1. Inshort kila m2 na tabia yake. Akili kumkichwa kupanga ni kuchagua.
 
Sijazungumzia tabia, nataka kujua taratibu zao zikoje kwenda kuonana na wazee na wanatakaga nn??
 
Taratibu ni kama ifuatavyo:
1. Mwaga pesa
2. Mwaga pesa
3. Mwaga pesa
4. Nasema mwaga pesa
5. Halafu subiria majibu huko ukweni
 
Ni sawa kuoa MMERU, mm ni mmeru na angallia jina langu hapo halafu uwakumbuke wakurdi wa kule Iraq ambao ndio walisababisha Sadam Kunyongwa. Ishu ni kuwa kwanza wanawake wa kimeru ni Wakali, kwa hilo jiandae, pili hawataki longolongo katika maisha ni kama wachaga tu uhakikishe unatulia na kutafuta hela. Hawana uswahili. na kama ni ishu ya ni namna gani uende kwao

Tafuta mtu yoyote ambae atakuakilisha kama mshenga
Then mtaenda na kujitambulisha endapo ni siku ya kwanza/ japo siku hiyohiyo mnaweza kueleza nia yenu yaani kuoa- hapo kama una hakika mtazungumizia juu ya kuoa utapeleka KIRERENGO- Hii ni pombe kama debe 12 kwa ajili ya kueleza nia yako, kama ni walokole huwa ni soda creti kadhaa, hapo ishu ya menu upande wa mke wanaandaa.
Then mtapatana mahari kikawaida ni ngombe anayitwa SIIKYI huyu ni ngombe jike ambae hajazaa ila anakaribia kubeba mimba na huwa wanaequate kwa fedha ambapo mwaka 1996 alikuwa 60,000 so sasa hivi ni kama laki 2.Ukishatoa hiyo andaa harusi yako na kama ukafanya harusi ndugu yangu utaaga umasikini -wanajua kuzawadia hao ogopa

ila
kama unataka kuoa kienyeji chukua mzigo weka ndani then kesho yake tuma mtu akaseme fulani yuko kwako wasimtafute na mtu huyo huyo anaweza kuongea kwa kuyamaliza na wazee bila complication yyt, njia hii hutumiwa sana siku hizi na kwa wazazi wengine anakuambia sitaki mahari yako ila mkaishi vizuri. Ila sasa wameru wanapenda sana shehere za harusi

karibu unywe Loshoro bhana
 
Ho ndo ukweli mtupu Mkurdi mimi nimeoa mmeru mwaka jana, anatakiwa pia kuandaa blanket la bibi na la babu, pia mbuzi wa baba na mama hapo kwisha! wameru wanakauli kuwa mahari huwa haiishi so utaendelea kutoa mahari siku zote maana wewe tayari unakuwa mtoto wao, chochote unachotoa ni sawa na mahari. Kila la kheri kwa mtoa Hoja.
 
lazima ujue atakusalimia Narendu, na kwa wameru ni nani mfano kaaya, mbise, palangyo, ngalesoni, mafie, nassari, sioi, summari, ayo, akyoo, bayo .... ila sidhani kama wanatofautiana kama wachagga ila ni watata wakikasirikaga so take care in fact ni wamachame waliojitengaga hapo awali na wanafanana-fanana !!!
 
  • Thanks
Reactions: GKM
wanamsimamo ktk mapenzi hawana tabia za umalaya,wavumilivu,wanajua kutunza familia na ni watafutaji wanajituma kwenye kazi.ila ukiwazingua ni wakali sana
 
Jiandae mkuu sitii neno zaidi, baada ya ndoa nategemea threads nyingi sana kwenye jukwaa hili la MMU kuomba ushauri....!
 
Wameru hawana tofauti na wanawake wa kimachame,ata lugha zao zinasikilizana...ukali,roho mbaya na ukorofi ni wao ijapokua cyo wote watakua ivo...
 
^^
Ha haaa Wameru??? Wa Ngarenanyuki au Leganga??
All the best kaka,,kama mahari siku hizi ni pesa tu.
^^
 
Wameru malaya coz me kuna shemeji yangu alianza kunishobokea hatimaye akanipa tunda,me bila hiyana nikamnawa ili niweke heshima..niliipiga haswa mpaka akiniona anatamani aniamkie...Ha ha ha ha,chezea mjalabati wewe
 
Hata ww malaya basi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom