Nataka kuoa kimwana toka JF

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,715
86
Yaah, nataka kuoa binti mdogo dogo, lazima awe kigoli na sio ambae amechezewa ! kama amechezwa sawa (ngoma).

Sasa kama wewe ni binti, then unafit katika hiyo category niliyotaja, jimwage hapa ! Niambie, tena mbele ya baraza, na kama utapatikana kabla ya Ijumaa, basi ijumaa usiku ya wiki utachezwa mdundiko hapa hapa JF, brazameni kaa tayari !

Invited Guess:
ALL

Dress/Language Code:
Casual/Lugha safi

Uninvited Guess :
(Hapa naweza kupata suggestions nani wasialikwe kwenye mdundiko ijumaa usiku ya wiki hii)

Naombeni suggestions nyingine :

san_francisco_wedding_photographer_stefanie_herzer.jpeg

photojournalism-wedding-bride-dance-burbank.jpg

Huyu ndiye ninayemtafuta !

wedding1.jpg

Wedding.jpg

wedding-hair-styles.gif

Nywele (za bi harusi mtarajiwa )lazima ziwe style hii ! Vinginevyo GEUZA NJIA !

GazeboWedding_press_large.jpg

Wedding_Left1_101706.jpg

Wazazi wake lazima wawe tayari kutununulia rings worth, not less than $40,000

Wedding_Table.jpg

V.I.P Stuff:

250095770myantares1-web.jpg

Soda pekee ! Hakuna champaigne. Na hizo soda sio bure, uje na hela yako !

largest-burger-105lbs.jpg

delivery zitakuwepo kwa vip tu !

wageni waalikwa watatakiwa kununua chakula micky d's !

DJ: Hakuna ! njoeni na mp3 players zenu !

Venue : JF (Hoja Binafsi Social Hall)

Njoeni na zawadi, angusha kwenye gift basket, then unaweza kuondoka !

Mwishowe atatakiwa bwana na bibi harusi tu kubali kwenye hall !

Asanteni !

Naomba wee kimwana ujitokeze au member yoyote apropose jina la kimwana !

black_and_red_rose.sized.jpg

Nimechuma mwenyewe hili ua !
 
HAYA ASYE NA MWANA AELEKE JIWE....KATIKA HIYO SHEREHE NITAHUDHURIA BILA KUTOA UDHURU....!ILA KADA,VIKAO MBONA HUKUITISHA AU NDIO HARUSI ZA WENZETU NYIE MLIONACHO? HAKUNA KUCHANGISHA MTU?......!BEST MAN WAKO NI NANI? AU NDO HARUSI ZA 'KIDHUNGU'?.....UMESEMA UKUMBI NI JF......?......WAKATI UNABUKU UKUMBI WALIKUAMBIA MWISHO SAA NGAPI....? MANAKE WANA KUMBI NYINGI...UNAWEZA LIPIA ULE UKUMBI MKUBWA....AKAJA MWENYE NACHO.....UKAPEWA UNAOVUJA/MDOGO ILHALI ULIOONYESHWA KURIDHIKA NAO NA KULIPIA NI MWINGINE.......!(mfano ukumbi wa msasani-jeshini/ubungo plaza-blue pearl ndo michezo yao)
(HIVI UMETUMIA FIGURATIVE LANGUAGE AU UKO SERIOUS....!)
 
Unataka ambaye hajachezewa, una uhakika na wewe hujachezewa? kwanza maana ya kuchezewa ni nini, halafu kumbe ushampata, mbona unaandaa hsherehe kabla ya kumpata kimwana, anyway mi ntatia timu. Ila ntamwambia huyo kigoli akuwekee ngumu na wewe kama umechezewa esp na masugar mamaz. All the best Kada. Hey, hey ,hey...wait, mwanasisiemu yupi atakatia timu kukupa kampani. chenge au...
 
KUMBE KADA SISIEM........!?
 
Mzee Mahesabu,
wee acha si unajua tena party lenyewe ni la siku chache halafu halikuandaliwa vizuri, kwa hiyo michango hakuna lakini nilikuwa naona kwamba kama kila mtu atakuja na msosi wake iweje tuchange ? au unaonaje hiyo mzee ?
au sio !
 
Unataka ambaye hajachezewa, una uhakika na wewe hujachezewa? kwanza maana ya kuchezewa ni nini, halafu kumbe ushampata, mbona unaandaa hsherehe kabla ya kumpata kimwana, anyway mi ntatia timu. Ila ntamwambia huyo kigoli akuwekee ngumu na wewe kama umechezewa esp na masugar mamaz. All the best Kada. Hey, hey ,hey...wait, mwanasisiemu yupi atakatia timu kukupa kampani. chenge au...

natoa mwaliko mmoja tu ambao ni VERY OFFICIAL na huo ni kwa JOHN MNYIKA ! tuone kama atakuja !
 
ukifanikiwa mjomba na mie itabidi nitangaze tenda hapahapa.....maana nimegundua ni mahala panatembelewa na watu wenye uelewa flani...anyway ni mtazamo tu
 
Very good news delivered at the wrong place, kama unataka wageni na michango hapa itabidi uichanechane na kuikana kadi yako ya CCM hapa afu uchukue ya CHADEMA ndo watu watafikiria ombi lako. I think Asha will be a good choice, you just need your chadema card!
 
Kada!!, mbona sioni hata pic moja ya ''mzinga'' kwa kulainisha koo?, hujui siku hizi harusi bila maji yenye ''rangi ya mende'' hazinogi?
 
Very good news delivered at the wrong place, kama unataka wageni na michango hapa itabidi uichanechane na kuikana kadi yako ya CCM hapa afu uchukue ya CHADEMA ndo watu watafikiria ombi lako. I think Asha will be a good choice, you just need you chadema card!
naona kuna ka harufu ka kichama fulani hapa.....!
 
Very good news delivered at the wrong place, kama unataka wageni na michango hapa itabidi uichanechane na kuikana kadi yako ya CCM hapa afu uchukue ya CHADEMA ndo watu watafikiria ombi lako. I think Asha will be a good choice, you just need your chadema card!

yah, good idead ! lakini mbaya zaidi sina kadi hata ya ccm, lakini subiri niprint kadi feki halafu niwaonyeshe "wenyewe" na nijiunge na chadema, uone watakavyofurika, najua MNYIKA atakuwa mbele !
 
Pole sana kaka mtafuta mke

mimi nipo tayari ila bahati mbaya niko experienced kuliko basic requirements zako atiiii?? Mbona hujatoa room for consideration of other qualities..........

fafanua suala la kuchezewa pia, maana unaweza kuwa ulichezewa enzi zile 19kweusi na ukaenda hiatus fulani ukawa mpya tena just need a little dusting around the edges. (just a joke)

Anyway good hunting. I'm not the one.
 
Kaka hao wasiochezwa kwanza wananuka kikwapa hawajui matumizi ya ndimu au deodorant pia hawajui kuosha vidude vyao sasa wewe hicho kikinda cha nini au unataka ukafungwe kwa kubaka

Tafuta jimama likupe mambozzzzzz
 
oNGEA NA BABA MKWE INVISIBLE AKUPATIE AMONG HOF ITS BINTIEZ UJICHAGULIE UOE.

NB
iNVISIBLE = ROBOT
 
kufatana na hiyo picha yako inaonekana unapenda kuoa mzungu au mchina ..Kwani JF wapo hao?:smile::nono:
 
Back
Top Bottom