Nataka kuoa bikra ila nakatishwa tamaa

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,107
2,000
Nataka kuoa binti bikra ila kila mtu ananiambia hicho kitu ni kigumu sana kwa maisha ya sasa. WADAU nipeni mwongozo kwenye ili suala.

Ndio ni ngumu kupata mwanamke BK wa kuoa kama ilivyo ngumu kupata mwanamke BK kwenye wodi ya wazazi Kibasila
 

HMS

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
320
195
Sasa mm ata nikiwa bikra demu ata juaje

We jamaa haujaelewa point.
Sio kuhusu mwanamke akujue we bikra. Hii kitu ni ww binafsi moyoni mwakao si unajijua kama ni bikra au hapana. Km unachakachua sn huwezi pata bikra hii kitu ni nature ipo hivo, na ukija kupata basi watu watakumegea.
 

HMS

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
320
195
Nataka kuoa binti bikra ila kila mtu ananiambia hicho kitu ni kigumu sana kwa maisha ya sasa.

Wadau nipeni mwongozo kwenye ili suala

Wala sio kigumu. Wapo wengi sana watoto wametulia. Ukitaka wa kuruka majoka huwezi pata lakini ukitaka kuoa, basi wapo wengi wametulia wanajiheshimu wanataka kuolewa ndo waguswe, wanaomuogopa Mungu. wengi sn aiseee,
 

Viva89

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
1,254
2,000
jipe kitu roho inapenda..kila kitu kinawezekana, ni juhudi zako tu..endelea kutafuta, utapata tu
 

Good Man

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
772
1,000
tafuta upendo wa kweli, mtu ambae utadum nae kwenye shida na raha,mtu ambae atakuelewa in all situations in life bikra zipo ila chache sana miaka hii
 

Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
12,485
2,000
Nataka kuoa binti bikra ila kila mtu ananiambia hicho kitu ni kigumu sana kwa maisha ya sasa.

Wadau nipeni mwongozo kwenye ili suala
Khaa!! Labda ufunguke vizuri mkuu. Kuna bikra wa aina mbili..
1. Yule ambaye hajawahi kufanya mapenzi
2. Yule ambaye kule ndani bado kuna ukuta

Yupi unayemtaka wewe??
 

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,382
2,000
Sasa mm ata nikiwa bikra demu ata juaje
Hahahah,atajua tu mkuu.
Kuna mwenzio alipiga kelele wakati wa kujojoa,aliita ndugu zake woote kwa sauti kuubwaa,na alipopiga chuma alitoka mbiooooo uchi.Ndio watu wakamshika.alipoulizwa alisema alihisi kuchanganyikiwa akasema kwamba kuna mapepo yalikuwa yanamtekenya kiunoni.Kumbe wazee walikuwa kwenye njia zao za kutoa..
 

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,382
2,000
Nenda umasaini utapata

Amtafute Masai Dada.
Umasaini kweliz ipo telee.
Tatizo la watu wa Makabila mengine kuwenza kuwa maintain wanawake wa Kimasai,hapa namaanisha wamasai pure sio hawa Wakwavi waliojaa mjini na kusema wao ni wamasai.

Tatizo la Madada wa kimasai ni moja,kwamba wao Wivu kwao ndio issue,mkizinguana jua kisu kipo karibu.
Ukitaka uwaweze na muwezane basi ishi kwenye nature yao na mfumo wao wa maisha.
Lakini haya mabo ya kuja mjini sijui kufanya maisha ya kisasa jue watakuzingua.Ni wepesi sana ku adapt maisha.
 

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,382
2,000
mbona wapo tu sema watu wamekuwa wasanii sana hata wenye nazo wanaonekana wasanii, kuna staff mate mmoja hivi kazaliwa 1979 but bado ni bikra alipata mchumba vikao vikaanza akamuacha yule kaka kiaa kaomba mzigo kabla ya ndoa.

hadi leo anadai kuliko afanye uzinzi bora asiolewe, hapo kaajiriwa 2004

Nakubaliana na wewe ni kweli wapo,ila mfumo wa maisha ndio tatizo.Wengi waliopinda wanaharibia wenzao
 

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,806
2,000
Bikra zamani unawekewa shuka jeupe kupimwa ulijali wako unatoa bikra.nenda uzaramun utapata za kutengenezwa.
 

Wise Person

Senior Member
Jul 3, 2015
102
225
Jambo la kujiuliza kwanza wewe ni Bikra? Mungu ni wa Haki sikuzote anakupa unacho deserve kilicho stahili yako na chakufanana na wewe. Ushauri: kweli ni ngumu kwa Maisha ya sasa kumpata binti wa namna hyo.. Lkn inawezekana ukampata coz wapo ila ni wachache kiuhalisia. Kama wewe sio Bikra.. Omba toba kwa Mungu Juu ya Uzinzi uliokua ukifanya kwa dhati kabisa na kuacha kabisa. Ukishakuwa safi Mueleze Mungu shida yako. Na umsubiri huku Ukijitunza Atakuapatia sawasawa na Mapenzi yake Isaiah 45:11-. Atakachokupatia ndicho sahihi cha kwako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom