Nataka kununua simu budget 650000 mpaka 700000

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza naomba mnishauri brands and type ambazo naweza pata kwa bei hiyo
 
Nunua Samsung Galaxy A5 toleo la 2016 hutojuta. Ukinunua mwambie muuzaji akusajili na warranty 2years ya kutuma meseji kwa Samsung wenyewe sio warranty ya mdomo au ya karatasi.
 
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza naomba mnishauri brands and type ambazo naweza pata kwa bei hiyo

Sawa, lakini jiulize utapata faida gani ikiwa kwenu kijijini hauna hata kibanda cha mavi ya ng'ombe. Huoni kama hizo laki 7 zitanunua mavi ya ng'ombe ya kutosha pamoj na cement kujenga kibanda cha bibi yako?
 
Ficha ujinga, amekuambia ana shida na kibanda?hatulingani maisha na hata machaguo pia, anataka simu we unamwambia kibanda
 
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza naomba mnishauri brands and type ambazo naweza pata kwa bei hiyo
Acha kushangaa Mkuu, nicheki 0654776976, au njoo dukani kwangu nikupe simu kali mpyaa tena yenye uwezo wa 4G na vifaa vyake vyote, chagua kati ya hiz, zote ni kali ila chagua mwenyewe brand unayopenda kati ya LG G4 ya 32GB, samsung note 4 ya 32GB, samsung A7 ya 16GB, huawei P8 64GB, Samsung galaxy s6 ya 32GB, Huawei Mate 7 ya 32GB, Sony Xperia z4 ya 32GB au Iphone 5s ya 64GB....karibu!!
 
Back
Top Bottom