Nataka kununua power bank aina ya Xiaomi (mi) 10000 mAh, ushauri tafadhali

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
661
nataka kununua mi power bank 10000 mAh kupitia online seller kwa dar, bei yake 36,000 plus usafiri 3,000 jumla 39,000. Je ni bora au kuna brands nyingine bora zaidi? Naomba ushauri wako
 
Chaguo ni lako, mimi nina brand nyingine nauza 10000 MaH kwa 35,000 nicheki 0714883861
 
Power bank makin,yenye uhakika na yenye kukufaa nunua PINEC,,ikiwa 100% unachaji betri yenye ukubwa wa 5000mhp kwa asilimia 3-4 knanbaki 96,,bei ya jumla ni 75000 rejareja 80000-85000
 
Huwezi uziwa Xiaomi au Mi Power Bank kwa bei hiyo, labda ziwe fake. Hata ukiuziwa huwa na sehemu ya ku scratch na kuna namba unatakiwa ku verify kwenye website yao.

nataka kununua mi power bank 10000 mAh kupitia online seller kwa dar, bei yake 36,000 plus usafiri 3,000 jumla 39,000. Je ni bora au kuna brands nyingine bora zaidi? Naomba ushauri wako
 
hao waongo powerbank 10000mah kwahiyo bei i swear hutopata kiasi halisi cha chaji powerbank OG ya 5600mah za ukweli si chini ya elf 30
 
mkuu mshaambiwa mjihadhari zimeingia power bank fake sijui hamko makini mi nina power bank org simu yangu nachaji mara 3 inajaa full yaanj simu kuanzia 0 % mpk 100% × 3 ,Xiaomi Mi Power Bank 10000 Capacity .
Nimenunua elfu 50 .
ukihitaji nicheki PM lkn utaongeza elfu 10 Jumla utoe 60K nitakuuzia ..
739bbfc3f0b622ddcdfe3381df97a02d.jpg
2c6ab87351a6ad4f12f66ba8b4698cac.jpg
de4a6ad5d1f99297f4f8819f11c93b71.jpg
2544d7966670d56e65d62143b82756e2.jpg
fdf919b3ea7a7a0afc5d0ff03271fea8.jpg
55dc60f9992b3e765d0a42b92efe6b99.jpg
 
Back
Top Bottom