Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Wana jamii, hbr zenu? Kuna nyumba inauzwa na ninataka kuinunua kwa hela za benki. Nyumba iko ktk makazi yaliyo pimwa na ina hati. Tafadhalini naombeni msaada wa mawazo: 1)ni benki gani naweza kupata mkopo 2)mimi ni mtumish wa NGO, je naweza kuacces mikopo hiyo? 3) ni mambo gani ya muhimu napaswa kuyafanya 4) mkopo unaweza kuchukua muda gani. 5) mawazo mengine tafadhali au njia mbadala ya kuweza kuipata nyumba hiyo. Nawasilisha kwa msaada