Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

aisee chanika na Chamazi kuna viwanja na nyumba za bei rahisi sana hadi kunanipa wasiwasi, yaani nyumba imekamilika kabisa inauzwa milioni 20, nataka kujua kwa nini ni bei rahisi kuliko kwingine kabla sijanunua
hzo zinaitwa JENGA UZA...Hazina ubora ....mtu anajenga fasta tu .....cement hawek kwa viwango...so baada muda mchache zinakuwa mbovu
 
shukrani kwa maelezo mkuu
Kiwanja bado sijapata eneo nililoridhika nalo, wananipeleka porini wakati mimi nataka nijenge na kuhamia. Nimepandisha dau sasa hivi, milioni 20 kwa size ya 800 sqm ila isiwe porini
Kwa bajeti ya milioni 20 sqm 800 utapata kiwanja kizuri tu na eneo karibu, katika mengi mengi ya kuzingatia pia usisahau yafuatayo
  1. Usiwe na haraka kumbuka nyumba ni kitu cha kudumu hivyo jipe muda viwanja vipo vingi, heri uchelewe lakini upate eneo lisilo na shida.
  2. Usikubali kulipa 100% lipa kwa installments hata kama zitakuwa chache hii itapunguza chances za full kutapelewa.
  3. Hakikisha umefanya utafiti kwanza kabla ya kufanya maamuzi ya kununua. Utafiti namaanisha kwa kuhoji majirani, mjumbe wa eneo (jua jina lake kwanza kabla ya kumwendea, jua na anapoishi, hii ni kuepuka kupata mjumbe feki.
  4. Kwa kuwa umesema unafanyia kazi nyumbani na kama unahitaji internet jiridhishe kuwa internet kwa eneo unalotaka kununua ina signals strenght ya kutosha.
  5. Angalia ukubwa wa barabara ulizopakana nazo je zina ukubwa wa kutosha maana kuna viwanja unauziwa barabara ina mita 3 hii ina maana kiwanja chako mwisho wa siku kitamegwa kupisha barabara za mitaa/mtaa so kiwanja kitapungua ukubwa.
  6. Hakikisha kiwanja kinafikika tena bila shida majira yote iwe jua iwe mvua iwe mafuriko. Epuka kununua kiwanja uelekeo ambao inabidi uvuke mto au mfereji na wakati kwenye huo mto au mfereji hakuna daraja lililojengwa. Hata kama mfereji/mto utakuwa mdogo vipi acha kununua hicho kiwanja maana siku mvua kubwa ikinyesha hakika utakuwa kisiwani.
  7. Hakikisha unajua unataka kiwanja maeneo gani yaliyo flat kama kigambon au yaliyo na milima milima kama kimara. Hii unaweza ukaona haina maana lakini ukipata kiwanja ambacho hakipo flat ujue itakuwa ikinyesha mvua kigogo tu inabidi urudishie mchanga uliosombwa na maji na vilevile kabla ya kujenga mara nyingi itakubidi ufanye kupasawazisha au ujenge kufuata bonde/mwinuko hii inaongeza gharama za ujenzi.Vilevile angalia kiwanja hakifanya maji kutuama maana unaweza kununua sehemu wakati wa kiangazi ikija masika maji ya mtaa yanajihadhi kwenye kiwanja chako! ila wakati wa kiangazi ahh pako safi.
  8. Ni vizuri kiwanja kisiwe mbali sana na barabara ya lami maana kama kipo mbali sana na lami na kwa mfano una gari ina maana gharama za matengenezo na mafuta zitaongezeka maana wakati wa masika daily unakanyaga madimbwi wakati wa kiangazi daily unakanyaga mashimo.
  9. Jua status yako maana kama unajiona una hadhi fulani basi itakubidi utafute maeneo yahadhi yako ambayo hata majirani zako na mijengo yao liyo mingi itakuwa ni ya hadhi fulani. Hii itaepusha kujisikis vibaya pindi ushajenga halaf unaona noma hata kuwapeleka ndugu marafiki zako maana majirani zako wengi wana hadhi fulani ambazo wewe huzipendi.
  10. Fanya utafiti kujua kama kiwanja hakina mgogoro kwa maana ya muuzaji na wanaomhusu na wasiomhusu i.e. majirani, ndugu, watoto, serikali.
  11. Epuka kununua kiwanja mahali mbapo kwa siku za usoni au hata siku za mbele sana serikali ina mipango ya kutumia hiyo ardhi, maana siku serikali ikiamka ikachukua hiyo ardhi utakuta umepoteza pesa, na muda wako.
  12. Kabla ya kunua angalia huduma za kijamii ambazo wewe ungependa ziwe karibu na wewe je zipo?
  13. Mtangulize Mungu, muombe sana asikuache ukanunua kiwanja ambacho kina shida za kiroho. Amini usiamini kuna watu maisha yao yamepata shida maana walinunua viwanja ambavyo vina shida katika ulimwengu wa roho.
 
  7. Hakikisha unajua unataka kiwanja maeneo gani yaliyo flat kama kigambon au yaliyo na milima milima kama kimara. Hii unaweza ukaona haina maana lakini ukipata kiwanja ambacho hakipo flat ujue itakuwa ikinyesha mvua kigogo tu inabidi urudishie mchanga uliosombwa na maji na vilevile kabla ya kujenga mara nyingi itakubidi ufanye kupasawazisha au ujenge kufuata bonde/mwinuko hii inaongeza gharama za ujenzi.
  8. Ni vizuri kiwanja kisiwe mbali sana na barabara ya lami maana kama kipo mbali sana na lami na kwa mfano una gari ina maana gharama za matengenezo na mafuta zitaongezeka maana wakati wa masika daily unakanyaga madimbwi wakati wa kiangazi daily unakanyaga mashimo.
  9. Jua status yako maana kama unajiona una hadhi fulani basi itakubidi utafute maeneo yahadhi yako ambayo hata majirani zako na mijengo yao liyo mingi itakuwa ni ya hadhi fulani. Hii itaepusha kujisikis vibaya pindi ushajenga halaf unaona noma hata kuwapeleka ndugu marafiki zako maana majirani zako wengi wana hadhi fulani ambazo wewe huzipendi.
  10. Fanya utafiti kujua kama kiwanja hakina mgogoro kwa maana ya muuzaji na wanaomhusu na wasiomhusu i.e. majirani, ndugu, watoto, serikali.
  11. Epuka kununua kiwanja mahali mbapo kwa siku za usoni au hata siku za mbele sana serikali ina mipango ya kutumia hiyo ardhi, maana siku serikali ikiamka ikachukua hiyo ardhi utakuta umepoteza pesa, na muda wako.
  12. Kabla ya kunua angalia huduma za kijamii ambazo wewe ungependa ziwe karibu na wewe je zipo?
  13. Mtangulize Mungu asikuache ukanunua kiwanja ambacho kina shida za kiroho. Amini usiamini kuna watu maisha yao yamepata shida maana walinunua viwanja ambavyo vina shida katika ulimwengu wa roho.
Point No 13 ni ya muhimu sana mkuu. Watu wengi tunaisahau
 
Kwa bajeti ya milioni 20 sqm 800 utapata kiwanja kizuri tu na eneo karibu, katika mengi mengi ya kuzingatia pia usisahau yafuatayo
  1. Usiwe na haraka kumbuka nyumba ni kitu cha kudumu hivyo jipe muda viwanja vipo vingi, heri uchelewe lakini upate eneo lisilo na shida.
  2. Usikubali kulipa 100% lipa kwa installments hata kama zitakuwa chache hii itapunguza chances za full kutapelewa.
  3. Hakikisha umefanya utafiti kwanza kabla ya kufanya maamuzi ya kununua. Utafiti namaanisha kwa kuhoji majirani, mjumbe wa eneo (jua jina lake kwanza kabla ya kumwendea, jua na anapoishi, hii ni kuepuka kupata mjumbe feki.
  4. Kwa kuwa umesema unafanyia kazi nyumbani na kama unahitaji internet jiridhishe kuwa internet kwa eneo unalotaka kununua ina signals strenght ya kutosha.
  5. Angalia ukubwa wa barabara ulizopakana nazo je zina ukubwa wa kutosha maana kuna viwanja unauziwa barabara ina mita 3 hii ina maana kiwanja chako mwisho wa siku kitamegwa kupisha barabara za mitaa/mtaa so kiwanja kitapungua ukubwa.
  6. Hakikisha kiwanja kinafikika tena bila shida majira yote iwe jua iwe mvua iwe mafuriko. Epuka kununua kiwanja uelekeo ambao inabidi uvuke mto au mfereji na wakati kwenye huo mto au mfereji hakuna daraja lililojengwa. Hata kama mfereji/mto utakuwa mdogo vipi acha kununua hicho kiwanja maana siku mvua kubwa ikinyesha hakika utakuwa kisiwani.
  7. Hakikisha unajua unataka kiwanja maeneo gani yaliyo flat kama kigambon au yaliyo na milima milima kama kimara. Hii unaweza ukaona haina maana lakini ukipata kiwanja ambacho hakipo flat ujue itakuwa ikinyesha mvua kigogo tu inabidi urudishie mchanga uliosombwa na maji na vilevile kabla ya kujenga mara nyingi itakubidi ufanye kupasawazisha au ujenge kufuata bonde/mwinuko hii inaongeza gharama za ujenzi.Vilevile angalia kiwanja hakifanya maji kutuama maana unaweza kununua sehemu wakati wa kiangazi ikija masika maji ya mtaa yanajihadhi kwenye kiwanja chako! ila wakati wa kiangazi ahh pako safi.
  8. Ni vizuri kiwanja kisiwe mbali sana na barabara ya lami maana kama kipo mbali sana na lami na kwa mfano una gari ina maana gharama za matengenezo na mafuta zitaongezeka maana wakati wa masika daily unakanyaga madimbwi wakati wa kiangazi daily unakanyaga mashimo.
  9. Jua status yako maana kama unajiona una hadhi fulani basi itakubidi utafute maeneo yahadhi yako ambayo hata majirani zako na mijengo yao liyo mingi itakuwa ni ya hadhi fulani. Hii itaepusha kujisikis vibaya pindi ushajenga halaf unaona noma hata kuwapeleka ndugu marafiki zako maana majirani zako wengi wana hadhi fulani ambazo wewe huzipendi.
  10. Fanya utafiti kujua kama kiwanja hakina mgogoro kwa maana ya muuzaji na wanaomhusu na wasiomhusu i.e. majirani, ndugu, watoto, serikali.
  11. Epuka kununua kiwanja mahali mbapo kwa siku za usoni au hata siku za mbele sana serikali ina mipango ya kutumia hiyo ardhi, maana siku serikali ikiamka ikachukua hiyo ardhi utakuta umepoteza pesa, na muda wako.
  12. Kabla ya kunua angalia huduma za kijamii ambazo wewe ungependa ziwe karibu na wewe je zipo?
  13. Mtangulize Mungu, muombe sana asikuache ukanunua kiwanja ambacho kina shida za kiroho. Amini usiamini kuna watu maisha yao yamepata shida maana walinunua viwanja ambavyo vina shida katika ulimwengu wa roho.
shukrani ndugu
 
shukrani kwa maelezo mkuu
Kiwanja bado sijapata eneo nililoridhika nalo, wananipeleka porini wakati mimi nataka nijenge na kuhamia. Nimepandisha dau sasa hivi, milioni 20 kwa size ya 800 sqm ila isiwe porini
Tafuta 14m nikupe eneo sqm 400 goba kulangwa km 1.5 kutoka barabara ya lami
 
Point namba tisa ni ya muhimu, Maana kweli unaweza nunua kiwanja ukaujenga mjengo wa maana ila raia waliokuzunguka wamejenga tu ili mradi mtu alale ndani, hii inashusha hadhi ya mjengo wako, hivyo ni muhumi mtu kununua kiwanja mahali penye majirani wenye hadhi yake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unapoenda kununua 20*20 tena kwa miguu na vijibarabara vya mita 5 ..mkuu nasikitika kukuambia hicho ndicho unachokitafuta eneo lenye msongamano.. na litakuja kusongamana nguvu zishaisha na huna tena uwezo wa kuanza moja mahali kwingine...
hao consultant wanapatikana wapi mkuu!?
 
shukrani kwa maelezo mkuu
Kiwanja bado sijapata eneo nililoridhika nalo, wananipeleka porini wakati mimi nataka nijenge na kuhamia. Nimepandisha dau sasa hivi, milioni 20 kwa size ya 800 sqm ila isiwe porini
Njoo Kerege karibu na Baobab Sekondari, maji na umeme vimefika viwanja vimepimwa unachagua mwenyewe.
 
Wakuu nimejipanga na bajeti ya milioni 5 hadi 8 kwa ajili ya kununua kiwanja, maeneo ya DSM au Pwani kulingana na upatikanaji utakavyokuwa, bahati nzuri mimi nafanyia kazi nyumbani so hata eneo likiwa nje ya mji halitaniletea shida endapo litakuwa na intaneti

Baada ya kufanya utafiti wangu nimeona maeno yenye viwanja vya angalau sqm 800 ni maeneo ya Kigamboni, ambapo unaweza kupata eneo la kujenga nyumba nzuri na uwanja ukabaki

Sasa kilichonishangaza ni maeneo ya Chanika kuwa na viwanja na nyumba za bei chee sana tena maeneo yenye watu wengi tu, hili ni kwa nini?

Pia naomba kujua ni taratibu gani za kufuatwa ili kuepeukana na matapeli

sababu ziko nyingi tu ila kwa uchache kigamboni kwa sehem kubwa ni low density areas, pia karibu sehemu kubwa ni flat land, na ni karibu na bahari , maana yake business opportunity ni kubwa zaid na pia few kms from city centre,

jinsi unavyokuwa karibu na city centre ndo makaz na viwanja yanakuwa gharama zaid.. hata viwanja kilicho barabaran hakina bei sawa na cha mtaa wa tatu

issue sio wing wa watu issue ni urahis wa kufika kwenye major business centres a.k.a city centers

sababu hizo tu hapo juu tayar zinatosha kuweka utofaut wa bei..
 
Ushauri nenda Chamazi kumejengeka vizuri na viwanja bei rahisi.. na maji unajichimbia tu

chamaz ya upande upi mkuu maana ninayoijua mie ya opposite uwanja wa azam had kurudi huku karibu na mbagala maji matitu.. imekuwa new squatter in town. ndo paliniboa ila kama kuna sehem ina viwanja vizur na mitaa ya kueleweka tufahamishane tuko interested
 
Ndio mkuu, nimesema 20 x 20 sina mpango nao, angalau iwe sqm 800. hao consultant kuwapata ndio sijui,ila kuna jamaa alishauri kabla ya kunuua niende kwanza klwenye ofisi za serikali ya mitaa ku confirm kuhusu hilo eneo, sijui kama hii inasaidia kiasi gani , maana hata hizi serikali huwa zinabadilika

Nikikosa maeneo yenyebhuduma na intaneti nzuri kwa baei ya milioni 10 itabidi ninunue tu vya huko porini kisha nianze kujenga mdogo mdogo hadi huduma muhimu zikifikia basi nihamie

tafuta kiwanja kigamboni hautajuta hasa maeneo ya kuanzia geza kwenda hadi mwanzo mgumu ambako bei itakuwa chini kdg

NB geza ulole ndo makao makuu ya wilaya mpya kwa maana ingine ndo patakuwa centre ya kigambon. hosptal ya wilaya iko pale, stand ya wilaya, ofc za serikali,

kigamboni ni new mbezi beach
 
chamaz ya upande upi mkuu maana ninayoijua mie ya opposite uwanja wa azam had kurudi huku karibu na mbagala maji matitu.. imekuwa new squatter in town. ndo paliniboa ila kama kuna sehem ina viwanja vizur na mitaa ya kueleweka tufahamishane tuko interested

Chamazi magengeni mpaka mbande . Ukipita shamba la muhimbili . Upande wa kulia wa bara bara ukiwa unaelekea mbande. Kumenyooka ardhi na kupangika..
 
Back
Top Bottom