Nataka kununua king'amuzi

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,726
5,442
Wadau, kinga'muzi cha Startimes kimenishinda. Nalazimika kutumia antena tatu, ili kupata chanel za kutazama. Kila antena ina chanel zake. Nikitumia antena moja napata baadhi tu. Nimejaribu kufuata maelekezo yao ya kuelekeza antena Makongo juu, lakini haijasadia kitu. Ombi lenu kwenu; nataka kununua king'amuzi kingine kati ya Continental na Digitek. Je, kipi ni bora. Naombeni ushauri utakoanisaidia tafadhali.
 
Hicho hicho startimes,wapigie 0767 700 800 watakuja mafund wao wakufungie bure.
 
mi nimenunua continental juzi jtatu
kiko poa Sana Picha zzimetulia Sana na inachaneli za kutosha shart antenna uifunge tu juu kwani wanarushia matangazo kisarawe
 
Wadau, kinga'muzi cha Startimes kimenishinda. Nalazimika kutumia antena tatu, ili kupata chanel za kutazama. Kila antena ina chanel zake. Nikitumia antena moja napata baadhi tu. Nimejaribu kufuata maelekezo yao ya kuelekeza antena Makongo juu, lakini haijasadia kitu. Ombi lenu kwenu; nataka kununua king'amuzi kingine kati ya Continental na Digitek. Je, kipi ni bora. Naombeni ushauri utakoanisaidia tafadhali.

Ndugu Continental ndiyo habari ya mjini nakitumia nanimekipenda kwa kweli,sina headache ya kulipia labda baada ya mwaka mmoja nakula channel 24 bure.
 
Back
Top Bottom