Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 4,726
- 5,442
Wadau, kinga'muzi cha Startimes kimenishinda. Nalazimika kutumia antena tatu, ili kupata chanel za kutazama. Kila antena ina chanel zake. Nikitumia antena moja napata baadhi tu. Nimejaribu kufuata maelekezo yao ya kuelekeza antena Makongo juu, lakini haijasadia kitu. Ombi lenu kwenu; nataka kununua king'amuzi kingine kati ya Continental na Digitek. Je, kipi ni bora. Naombeni ushauri utakoanisaidia tafadhali.