Nataka kununua gari ya kutembelea ila sijui chochote kuhusu gari

satong

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
260
311
Wadau,

Naomba mwenye kujua kuhusu gari imara na inayotumia mafuta kidogo especially used from Japan, pia ni vitu gani vya msingi napaswa kujua kabla sijamiliki gari?

Ahsanteni
 
Kwa hiyo bajeti - tafuta gari za ingine size 1.3L, mfano IST etl, Kwa kigezo cha ulaji wa mafuta kidogo

Kwa hiyo bajeti - haitoshi kuagiza gari toka Japan (CIF + KODI), bali utanunua hapa hapa nchini.

Ni vyema ukaanza na hii thread utapata mwanga zaidi:
Ahsante kwa ushauri mkuu....Je hiyo ya kuagiza direct inakwenda mpaka mil ngap ?
 
Je hiyo ya kuagiza direct inakwenda mpaka mil ngap ?
Ghalama inajulikana iwapo tu utasema:
- ni aina gani ya gari unahitaji?
- Iwe ya mwaka gani?
- iwe na cc ngapi?
Kumbuka kwa sasa kodi ya magari kidogo imeongezeka tofauti na mwaka jana.

Tuchukulie kwa mfano Toyota IST inatakiwa uandae sio chini ya 12m, Ambapo makadirio ya kodi ni kama 5m. : Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System

upload_2018-1-30_13-34-51.png
 
Kwa hiyo bajeti - tafuta gari za ingine size 1.3L, mfano IST etl, Kwa kigezo cha ulaji wa mafuta kidogo

Kwa hiyo bajeti - haitoshi kuagiza gari toka Japan (CIF + KODI), bali utanunua hapa hapa nchini.

Ni vyema ukaanza na hii thread utapata mwanga zaidi:
Kwa bei hyo itatosha kuagiza passo from japan pamoja na ushuru kila kitu kasoro bima tu
Cc: renyo msuya
 
Back
Top Bottom