Nataka kununua gari, ipi itafaa kati ya Kluger, Qashqai, Dualis ama Harrier Old Model

qashqai na dualis ni gari moja ila masoko tofauti. Nissan wanauza hiyo gari America kwa jina la qashqai na soko la Japan inauzwa kwa jina la Dualis...

Ni kama vile unavyoona Toyota Vitz na Toyota Yaris..

Kwema Boss

Nimejaribu kufatilia sana Dualis na Qashqai ufanano wake japo mimi si mtaalamu sana.

Speed ya Dualis ni 180 while Qashqai ni 240. Qashaqi ina-manyuva flani ya kwenye bodi ukilinganisha na Dualis
Hata muonekano tu qashqai ni much better.
 
Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.

Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD...
Ngoja wenye magari waje. Mimi nina jino moja (fala), mswaki (kujimwambafai) wa nini?
 
Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.

Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD.

Gari ninazo zipenda
1. Dualis
2. Qshqai
3. Kluger
4. Harrier Old Model
5. Subaru Forester

Zote ziwe na 4WD naomba uchambuzi wenu wajuzi wa mambo na masuala ya magari mimi kama kijana lipi litanifaa pia napokea ushauri wa gari mbadala wa hayo.

Ahsante
Gari ya 4WD halafu inywe mafuta vizuri? Haijaundwa bado
 
Back
Top Bottom