nataka kununua gari aina ya toyota funcargo under 100,000 milege

unge sema na bei kabisa ili mtu ajue anatafuta nini naeza kukutaftia ya bei kubwa sana ikawa tatizo .please unataka ya shilingi ngapi
 
kaka ya 2003 kodi bongo ni kama 2.7Ml shilingi + bei ya huko ni mpaka dar ni 4Ml nathani ukiweka na vitu vingine itafika 7.5Mil.
hii milafge ni 87,000 km , 1290 cc
 
Back
Top Bottom