Natumaini unahitaji kwaajili ya photographing , na sio kwaajili ya kuchezea. Drone zipo za aina nyingi kuanzia za kujifurahisha, za watoto , za kupiga picha za binafsi na za kupiga picha na video za kibiashara yaani professional. Nenda pentagon wapo dar watakushauri. Pia kuna jamaa mmoja yupo vizuri sana mambo ya shooting naweza kukupa link yake Facebook anaweza pia kukushauri.Ndugu zangu nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri kwaajili ya biashara.
Ndio nikwaajili ya biashara ya video shooting.Nipe link yake huyo mtaalamNatumaini unahitaji kwaajili ya photographing , na sio kwaajili ya kuchezea. Drone zipo za aina nyingi kuanzia za kujifurahisha, za watoto , za kupiga picha za binafsi na za kupiga picha na video za kibiashara yaani professional. Nenda pentagon wapo dar watakushauri. Pia kuna jamaa mmoja yupo vizuri sana mambo ya shooting naweza kukupa link yake Facebook anaweza pia kukushauri.
kibali cha nini ?chakununua au chakuomba ushauri humu?Nadhani unahitaji kibali kwanza
Hizo taratibu ni zakununua au kutumia?Serikali Imepiga Marufuku Matumizi Ya Drone Bila Kibari
Fuata Taratibu Kwanza Ndiyo Uitumie
Kabla ya yote zingatia yafuatayo:Ndugu zangu nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri kwaajili ya biashara.
Kutumia. Iliwahi kujadiliwa humu pitia hapoki
kibali cha nini ?chakununua au chakuomba ushauri humu?
Kuomba Vibari Wizara HusikaHizo taratibu ni zakununua au kutumia?
Ndio nikwaajili ya biashara ya video shooting.Nipe link yake huyo mtaalam
wewe umeulizwa swali badala ya kujibu unaanza kuleta ujuzi wako ,kwani lazima ukoment? Hapa hukuulizwa mambo ya kibali.Serikali Imepiga Marufuku Matumizi Ya Drone Bila Kibari
Fuata Taratibu Kwanza Ndiyo Uitumie
Muongozo wa nini? msikariri mambo mkazania watu hawajui hizo sheriaNenda mamlaka ya anga Tanzania wwatakupa muongozo
Hapa hujaulizwa kuhusu kibaliKuomba Vibari Wizara Husika
Ukiruhusiwa Yaani Ndiyo Unanunua
Kwasasa Unaweza Kununua Ukaanza Matumizi Baadaye Ukakamatwa
Kununua Huko Hakuna Shida
Asante sana Mungu akubarikiKabla ya yote zingatia yafuatayo:
• Ubora wa drone
•Upatikanakanaji wa spare parts na accessories kama:- landing gear, motor, propeller, propeller guard, battery, and so on
•Ubora wa picha, zipo hadi zenye ku support 4K resolution. Uwezo wa umbali itakayopaa angani na uwezo wa wewe kuicontrol, pia muda gani itadumu na chaji iwapo angani
•Bei
-bei zinatofautiana kulingana na ubora, lakini ukitaka prossional drone andaa $500 na kuendelea.View attachment 1107300View attachment 1107301