Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

kula ufuta mara kwa mara...
kula na kwenda kulala hapo hapo...
kula vitu kama sodana vitu vyenye sukari...
tumia zaidi junk food when u get time usiache mdomo wako upumzike hata kidogo mda wote unatafuna tu... usifanye mazoaezi kama kutembea mwendo mrefu... jaribu kuwa na hasira mara kwa mara kama unahitaji kitambi
 
Habari zenu, najua unene uliozidi si mzuri lakini mimi ni mwembamba sana hivo naombeni ushauri nipate kujua nini cha kufanya au nile vyakula gani ili niweze kunenepa kwa haraka zaidi.
Mkuu, unene sio mzuri bakia hivyo hivyo ulivyo, ingawa watu pembeni wakikuona wanakuona Damu 2 Maji 1 , lkn mwili ulio nao kiafya ni bora zaidi ( Kama wembamba wa kawaida hauumwi) kuliko huo unene unaoutaka.Narudia mkuu acha mawazo ya kutaka unene.
 
siumwi kiongozi, mi nimwembamba tangu utotoni, sasa nimekua naitaji mwili uongezeke, we nishauri tu nini nile kaka....
 
Habari zenu, najua unene uliozidi si mzuri lakini mimi ni mwembamba sana hivo naombeni ushauri nipate kujua nini cha kufanya au nile vyakula gani ili niweze kunenepa kwa haraka zaidi.
Kuna supplement za forever living kama ifuatavyo full cream milik,forever kids,aloe bits and peaches,fprever honey and bee pollen kama utahitaji utanipm ili niweke order.
 
Penda kula Tambi(pasta) na nyama za kushiba, hata wali na juice za madukani kwasana, pia Beer hasa Guinness.
 
siumwi kiongozi, mi nimwembamba tangu utotoni, sasa nimekua naitaji mwili uongezeke, we nishauri tu nini nile kaka....

Unene sio mzuri, ila kama unauhitaji utakuja wenyewe hadi utaona kero. Mi saiv nautamani wembamba huo.
 
Mi nahitaji kunawiri tu i mean kung'aa kiafya! Nami nifanyeje??

kula ushibe,yani msosi lisiwe jambo la kuwaza kabisaa...oga mtoto wa kike paka lotion/mafuta ya kung'arisha/kulainisha ngozi asbh na jioni,mascrub,massage,wax nk...usitembee juani,fanya mazoezi moderately,pendeza na viwalo vyako,be confident na kwa ujumla jipende na jitunze in everyway...lazma ung'aaeeeee...
 
Hakikisha unakunywa Lita moja ya mafuta ya kupikia KORIE, KUTWA *3. NB - LITAMOJA KWA SIKU.
 
Mtoto wa kiume ingia gym piga zoezi weka mwili sawa.

Unataka unenepe ili iweje kutafuta maradhi na uzembe tu.
 
Haaa kweli watu wanaukimbia unene wengine ndio mnautafuta asikudanymganye MTU unene ni matatizo tu ridhika na mwili wako
 
unataka kunenepa ili iweje ? unajitakia magongwa wewe.
I guess alimaanisha anataka mwili uongezeke na kujaa kidogo. Well Ni kuridhika tu, nuthin serious. Kula midawa ndio mwanzo wa kupata mi cancer hence cutting ur life short. Msosi mzuri plus kuridhika dats it.
 
Back
Top Bottom