nataka kunenepa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nataka kunenepa

Discussion in 'JF Doctor' started by stevoh, Oct 21, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wadau jamani mimi najiona nimekonda nataka kunenepa kiasi flani hivi embu naombeni ushauri wenu''
   
 2. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatari hiyo utapitiliza, kwani kukonda kwako kunakukosesha nini?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Piga kiti moto na ugali mara nne kwa wiki, Vitumbua, chips mayai na soda kwa wingi.....
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Shinikizo la shemeji? ukiongozana naye unaonekana kama houseboy? unakunywa bia? jibu hayo nikusaidie fasta fasta.
   
 5. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunenepa, sio afya! ni maradhi
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,882
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kapime ngoma kwanza ili uwe na uhakika kwamba huko kukonda si matokeo ya maradhi, baada ya hapo ndiyo utafute ushauri wa jinsi ya kunenepa.
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Jitahidi kupiga kitimoto,matunda kwa sana.
   
 8. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Punguza stress.utanenepa tuu.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,134
  Likes Received: 1,460
  Trophy Points: 280
  Ngoma ya siku hizi inanawirisha binti, angalia usiuvae mkenge mamaa. Ohoo.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,134
  Likes Received: 1,460
  Trophy Points: 280
  Sasa na wewe unataka kunenepa ili ukapasuliwe mbao ama?
   
 11. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 386
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hahahahaah daah haya mama, asante kwa kunichomoa mbavu zangu
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Unaliwa nyama hadi utake kunenepa?
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  ajibu kwanza hii ili tuweze kumsaidia.........
   
 14. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ni kunenepa mwili mzima,, au kunenepesha EM-BII-DABO-O!!
   
 15. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,454
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  swali tofauti kabisa, je wewe ni M au K?
   
 16. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,877
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Sa si mseme afanye je? Ni wengi eti Eeh 2nataka kunenepa labda ushauri utasaidia YAANI hata kakitambi ka kuzugia hakipo
   
 17. Super H

  Super H JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 1,005
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dawa ya kunenepa ni kula bila mpangilio yaani usiruhusu utumbo uake na bila chakula,kila kipitacho mbele yako kula au kunywa ,utakuja kuniambia.....
  Tahadhari,kunenepa ni rahisi kliko kukonda
   
 18. Mariano

  Mariano Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kula balance diet punguza ngono
   
 19. a

  amigooo Senior Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Stevoh inatakiwa mtu uzito wake uendane na kimo chake kiafya. Kama wewe umeshafanya vipimo na ukashauriwa kuongeza uzito ni muhimu sana kwa ajili ya afya. Mimi ninazo products zilizoandaliwa kiasilia na zisizo na kemikali kwa ajili ya kuongeza uzito na afya njema. Ukihitaji unaweza kuniandikia kwa email: healthwealthfirst@gmail.com pia waweza kunipigia kwa namba 0713889162
   
 20. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jinsia yako tafadhari
  Ukijibu ndio nitakupa njia nzuri ya kunenepa
   
Loading...