Nataka kumupa tunzo makamba kwa kuimarisha upinzani!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kumupa tunzo makamba kwa kuimarisha upinzani!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamakula, Jan 10, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ccm.
  Kauli za makamba tangia kura za maoni ccm umesaidia sana wanaccm kukimbia chama chao na kwenda upinzani na watu hao wamegombea kupitia upinzani na kupata ubunge na kuongeza ruzuku ya upinzani.!!!
  Chadema sasa wanapata ruzuku ya 200m na ccm imepungua ruzuku kutoka 1.2bil hadi 600m!!!

  Haya yote ni mafanikio ya makamba!!! Sasa kwanini wapinzani wanamchukia???
  Makamba alimtoa malechera, na mpaka sasa ni nguzo kubwa ya upinzani>
  alisema bashe si raia ikaleta hasira kali kwa wanaccm nzega.
  Anangalia shinyanga na iringa .

  Chadema imepata umarufu mkubwa arusha kutokana na kauli za makamba!!
  Hata mary chitanda naye anafanana na makamba

  jana makamba kamupinga kikwete pamoja na waziri nahodha , je nani ndani ya ccm ni jasiri wa kupinga mwenyekiti wa chama???
  Je mnyika anaweza kumupinga mbowe??
   
 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtu yoyote ambaye ni mpinzani wa kweli atampenda makamba kwa kuvuruga ccm. Huu ndio upinzani wa kweli ndani ya ccm
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Yah Makamba abaki kwenye cheo chake hadi 2015! Ni mtaji kwa Chadema
   
 4. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli kweli!
   
 5. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Bug up makamba na mary chitanda!!!!
   
Loading...