Nataka kumuoa huyu single mother

Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Kucha zimefinywa kwa ndani...
 
Nilishawahi kusema humu, na narudia:

Baadhi ya single mothers ni wasichana waliofanya makosa wangali wadogo, wakajikuta wamebeba mimba. Wengi wao utakuta pengine ilikua mara yao ya kwanza ku sex, pengine walidanganywa au hata kushikwa kwa nguvu wakajikuta wameshaachia mzigo na kitu kikanasa.

Kutokana na ugeni wao, wengi huogopa kutoa hizo mimba na kuvumilia kebehi, vipigo, vitisho nk kutoka kwa wazazi.

Kuna mabinti ambao leo hii sio ma singo maza kwasababu tu kila mimba inaponasa wanaichoropoa fasta, au wameshameza P2 ndoo mbili!
Huu ujumbe nimeuelewa.
 
'Like' yangu kwako ni ya 36. Ingekuwa inaruhusiwa kuongeza, ningerudia kukupa nyingine za kutosha.
 
Masingo maza huwa wapo hivyo hivyo ni wavumilivu na ving'ang'anizi sana kwasababu wanakua hawana soko jichanganye umuowe ndo utaona makucha yake vizuri wengi ni zaidi ya mashetani
 
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Huyo mwanaume amezaa nae ndio level yake. Kwasasa ni shida ndizo zinamfanya kujituma kupata sponsor but mambo yakikaa sawa akili yake ikarelax itataka kupata mwanaume wa level yake ambaye ndio huyo amepata nae mtoto.

Hili swala nimelifanyia utafiti na nimethibitisha beyond doubt kuwa nipo sahihi.

Mwanamke huwa anadate mwanaume kwa reflection ya muonekano wa baba yake kwa zaidi ya 50%.

Unaweza kutana na msichana pisi kali hapa mjini, kumbe katoka bushi baba yake ni mkulima na mfugaji huko bush.

Unaweka ndani, unamtengeneza anakuwa pisi kali. Unashangaa anakuja kugongwa na shamba boy nyumba ya jirani. Usishangae.... Huyo ndio level yake... Wewe ulitazama muonekano na sio character yake halisi na anapotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee ndio zako kushauri watu hovyo. Wala hatukushangai.
 
Kadri maisha yanavyoenda na visanga ninavyopitia ktk mahusiano

naanza kuona kwa sasa sifa ya mke wangu lazima awe Single Mother

ya Mungu mengi ila acha nijipe muda,japo kwasasa Sinyanyuki Niueni tu.
 
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Ana squirt?
 
Achana na hizi social stigmas, mwanamke unampima kwa vigezo vyako kama vinafit na si kwa hisia au mitazamo ya watu. Utaambiwa single mother Atapasha kiporo, mchaga muuaji, mhaya muhuni, msomi anadharau. Hakuna sehemu itakosekana kasoro. Na uhuni ni hulka binafsi ya mtu. Unaweza oa bikra, ila akawa mgawaji mzuri tu. Kwa hivi vigezo, ulivyosema, huyo ni mke. Acha kusikiliza miluzi, inampotezaga mbwa. Cha msingi mtie mimba, uweke signature!
Kama wanasema wahaya wasomi na wahuni, wakaoe wazaramo wa kisarawe basi, msituchoshe, single maza oyeeeee
 
Mpaka umekuja kuuliza, maana yake una doubts nae, huna uhakika.
Sema umempotezea muda, ila jua ukioa chochote kitakachotokea huko alikozalishwa, kama misiba hivi ataenda for the sake of kid, atalala wewe utabaki home ukimsubiri.
And then hiyo miaka miwili amjazaa tu?
 
Haya mambo hayan formula unakata mama mzazi mwenyewe alikutwa na baba akiwa single mama

Yote ni kupuuza na kusonga mbele
 
Yeyote utakaeoa mateso yapo mbele, so kama huyu walau ana vigezo vingine hasa akili ya maisha, mi nadhani jamaa aoe tu. Unaeza oa ambae sio singo maza lakini ni kicheche hatari na akili ya maisha hana.

Kweli mr nnakubaliana na kauli ya mr walter white kuwa binadamu tuna tabia ya kusahau

Yaani kama jamaa umekiri kabisa ya kuwa ukioa mateso yapo mbele lakini unaamua kupiga yote chini kwa kusahau mateso utakayokutana nayo na kuvuta chombo ndani
 
Back
Top Bottom