Mshamba wa Kijijini
Member
- Oct 5, 2007
- 74
- 1
napenda nieleweke wazi kabisa, ushauri wako unayesoma hii utanisaidia mawazo ya mwisho mwisho kuhusu azma yangu.
nataka kwenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya mheshimiwa mudhihir wa mudhihir sababu za mimi kumshitaki mudhihir ni
1. kuendesha gari kizembe na kujaribu kujiua(kujisababishia kifo)
2. kuhatarisha maisha ya watumiajia wa barabara(mwendesha baiskeli aliyemkosakosa)
3. kuendesha gari kwa mwendo kasi na kushindwa kulimudu hivyo kujisababishia ajali
4. kuendesha gari lisilokuwa na breki
5. kuendesha gari akiwa ametumia kilevi (akiwa amelewa)
ushahidi ninao na maelezo aliyotoa yote katika TV, magazeti, mkono wake uliokatwa na nimerekodi kila kitu ili kutimiza kile ambacho watanzania tunadhani hakiwezekani!
mara ngapi mmesikia madereva wanasakwa na polisi baada ya kuangusha magari? je huyu mudhihir amekamatwa? najua bado huku ni kukeuka sheria za jamhuri hii, hivyo nawajibika binafsi kufanya hili.