Nataka kuleta hizi gari hapo bongo je barabara zipo nzuri lakini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuleta hizi gari hapo bongo je barabara zipo nzuri lakini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG]
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,872
  Likes Received: 83,350
  Trophy Points: 280
  ...MziziMkavu labda usubiri barabara za flyover kama zilivyoahidiwa na msanii....inasemekana zitakuwa tayari mwaka 2095 :):)
   
 3. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli Mkuu maana barabara hizi tulizozizoea ataishia kupaki hayo magari nyumbani tu.

   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @BAK Hizo barabara ziwe teyari mwaka 2095 tutakuwa tumesha kufa?

  @Lily Flower ina maana hakuna barabara nzuri Tanzania ? Tanzania hakuna viongozi bali ni ufisadi tu kasheshe kweli bongo yetu.
   
 5. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Flyover pesa ilikuwa atoe Gadafi, hakuna hiyo ishu tena! Huyu msanii wa kizazi cha kale ndo maana haimbi tena huo mradi..kenya pesa ilishatoka from the same source Gadafi
   
 6. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu we baki nazo huko huko huku kwetu ni kitendawili, maana kuna rafiki yangu mmoja kuna siku tulimrescue katumbukia kwenye andaki barabarani, ni soo mkuu.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hayo magari ni special kwa barabara mbovu.
   
 8. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa ni Porsche au Bugati ningekwambia uclete. hayo yalete 2yapeleke shamba yakabebe majani ya ng'ombe.
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @Mtei One hata kama nikiyaleta yatapita wapi? Porini? kuna barabara ya kupita haya magari yenye matairi makubwa hapo kwetu Tanzania?
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 12. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Kwa barabara za hapa home tz zaweza kuwa source ya accident
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,872
  Likes Received: 83,350
  Trophy Points: 280
  ...Tukilamba asali, kutafuna tangawizi, mdalasini, hiliki, vitunguu saumu, kula matango kwa wingi n.k. kama tunavyoshauriwa na MziziMkavu :):):) basi 2095 tutakuwa bado tunadunda tu!
   
 14. JS

  JS JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Utakuwa ushakuwa kibabu yani hata kujikongoja huwezi. utakuwa na hali mbaya sana BAK :smile:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yaani ukiyaleta haya lazima matrafik wanenepe.Utasikia nipe kibali cha kunyanyua gari hivyo wengine watakwambia haipo kwenye list ya magari wanaojua wao yaani utajuta
   
 16. JS

  JS JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa Mzizi haya magari tunapandia kwa ngazi ama? maana huo urefu na si viandunje....hapo umenikuta nazurura kwenye jua kali wataka kunipatia lift nitapandaje?
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,872
  Likes Received: 83,350
  Trophy Points: 280
  Hahahahahah lol! JS unadhani hata ukila vyakula hivyo hapo juu kama tunavyoshauriwa na MziziMkavu huwezi kweli ukawa bado unadunda? :):)
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @BAK Tupate na Viongozi wenye kutupa Raha za maisha sio Viongozi wanaopenda Ufisadi na kuiba mali za Wanyonge walala hoi. We have to Change our leadership, yes We Can.
   
 19. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hizo gari kwanini zisifungwe jembe ili zilime shambani manake zitasaidia kwa kilimo kwanza kama slogan ya Jeykey
   
 20. JS

  JS JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Lakini ukiangalia unaweza kweli kudunda BAK ila sasa si inategemea ulizaliwa mwaka gani pia. Bibi yangu is almost 100 of not 100 already maana si unajua tena wazee wa zamani kuhifadhi kumbukumbu ilikuwa anasa na bado she is going strong ingawa magonjwa ya uzee yanamuandama kwa sasa. Hebu tuanze kufuatilia lishe ya Mzizi tuongeze siku za kuishi........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...