Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,232
7,043
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
 
Huyo labda umzae wewe, lakini kwa dunia hii ninayoishi mimi? sidhani kama itawezekana, haya kila la heri, yakikushinda njoo nakukaribisha kwangu; wifi yako ni mkarimu sana sidhani kama atakaataaaa kukupokea!
 
I don't want to call that "Lost hopes" but am tempted to say so at the end,...
Let me get into my dictionary first
 
Huyo labda umzae wewe, lakini kwa dunia hii ninayoishi mimi? sidhani kama itawezekana, haya kila la heri, yakikushinda njoo nakukaribisha kwangu; wifi yako ni mkarimu sana sidhani kama atakaataaaa kukupokea!
utadhani huna dada aliyeolewa kwa namna unavyoandika
 
Whatever you do its your call, but just remember you can't buy love, what goes round comes back round. Maybe not now not tommorrow but the day after! get my drift?
 
Utampata atakeyekua mwaminifu na kukupenda kweli tu usikate tamaa.
Kwangu mimi, kipato has nothing to do with Mapenzi. Mtu anayependa kweli hela sio tatizo, hata njaa mtalala na atakua mwaminifu.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom