Nataka kukopa Shilingi milioni 5 nianze biashara

Petrol Tank

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
205
350
Mm ni mwalimu npo mbeya mjini na mshahara wang kwa sasa take hom ni kama 350 iv, nataka kukopoa NMB kiasi tajwa kwa ajili ya kufungua kibanda cha mahitaji ya kawaida ya majumbani, location nimepata nzur ila bado najiuliza kama ntatoboa.
NB: nategemea kuajiri mfanyakaz kwa sababu muda mwing wa mchana nakuwa Mazini na jion ndio ntakuwa na muda wa kuwa Kubandani

Naombeni kuwasilisha
Screenshot_20191008-143649.jpeg
 
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.

Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.

Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.

Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?

Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.

Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
 
Mkuu biashara inahitaji usimamizi wa hali ya juu sana hususani ile inayoanzishwa uwepo wako 80%,
Kila la kheri Mkuu.
Shukran mkuu, nimekuwa na wazo mda mrefu japo nimekuwa nikiogopa kuliganyia kaz
 
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.

Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.

Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.

Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?

Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.

Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
Nilifikirie hilo, kama vip ntakufuata DM tuwasiliane
 
Ushamgeuza fursa mwenzio dah!
 
Mm ni mwalimu npo mbeya mjini na mshahara wang kwa sasa take hom ni kama 350 iv, nataka kukopoa NMB kiasi tajwa kwa ajili ya kufungua kibanda cha mahitaji ya kawaida ya majumbani, location nimepata nzur ila bado najiuliza kama ntatoboa.
NB: nategemea kuajiri mfanyakaz kwa sababu muda mwing wa mchana nakuwa Mazini na jion ndio ntakuwa na muda wa kuwa Kubandani

Naombeni kuwasilisha
View attachment 1226709
Uk

Ukipata nigawie na Mimi mkuu

Ukipata usinisahau mkuu
 
Ushauri wangu ungeweka biashara ambao ni ngumu kupigwa na mfanyakaz bila wew kujua...ungeweza kuweka biashara ya miamala,m pesa,tigo pesa,maxmalipo n.k, pia ungeweza kuweka gas kama location inaruhusu

Mfanyakazi hana lakuiba hapo labda akimbie na pesa
 
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.

Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.

Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.

Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?

Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.

Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
Dah mkuu kwa hiyo biashara yako ikipata hasara mnaanguka wote! Hujasema biashara yako ni ya nini na wala hujafunguka iko mkoa gani!

Hapo kuna issue ya kufanya due diligence ili ajue uwezo, uimara na sustainability ya biashara yako maana yawezekana biashara ikaonekana kwa juu juu kuwa ni nzuri lakini kukawa na madeni ambayo unatafuta mtu aweke pesa ukayalipe
 
Nilifikirie hilo, kama vip ntakufuata DM tuwasiliane
Ushirikiano Siku Zote Unalipa.
Ndio Maana Kushirikiana Ni Ngumu, Shetani Hapendi.

Hata Wale Waliokuwa Wanajenga Mnara Wa Babeli Walikuwa Wanaelekea Kufanikiwa Kabisa Kabisa Hawajavurugwa Lugha !

Na Kibaya Zaidi Wabongo Tuko Nyuma Sana!
 
Kwa mtaji wang huo, sitaweza kuweka ga japo mpesa itakuwepo coz fridge, mizani na showcase ya kioo ninayo tayari
Ushauri wangu ungeweka biashara ambao ni ngumu kupigwa na mfanyakaz bila wew kujua...ungeweza kuweka biashara ya miamala,m pesa,tigo pesa,maxmalipo n.k, pia ungeweza kuweka gas kama location inaruhusu

Mfanyakazi hana lakuiba hapo labda akimbie na pesa
 
Dah mkuu kwa hiyo biashara yako ikipata hasara mnaanguka wote! Hujasema biashara yako ni ya nini na wala hujafunguka iko mkoa gani!

Hapo kuna issue ya kufanya due diligence ili ajue uwezo, uimara na sustainability ya biashara yako maana yawezekana biashara ikaonekana kwa juu juu kuwa ni nzuri lakini kukawa na madeni ambayo unatafuta mtu aweke pesa ukayalipe
Nategemea itakuwa mbeya maeneo ya iyunga, ntabez kwenya mahitaj ya hom, vipodoz, lotions spray, vyakula, na bidhaa flan ambazo ni za watu wa middle standard of life na lower
 
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.

Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.

Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.

Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?

Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.

Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
Mbona biashara yenyewe huitaji?
Unamfahamu huyu mtu Kelvin Isaya?
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom