Nataka kujua wajibu na haki za polisi

issa mweusi

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,477
1,137
Kuna suala linaendelea DRC cha kushangaza polisi wanawatawanya wananchi wakati katiba inavunjwa na mtawala kwamaana hiyo polisi ni wajibu wao ni kwa watawala tu?
 
Inabidi tupeleke maombi kwa trump ya kutawaliwa tena yale mawazo yake yasiishie tu kwenye kauli
 
Kuna suala linaendelea DRC cha kushangaza polisi wanawatawanya wananchi wakati katiba inavunjwa na mtawala kwamaana hiyo polisi ni wajibu wao ni kwa watawala tu?
Soma kijarida hiki utaokoteza kidogo angalau. Sijakisoma lakini seems you can make sense out of it! Give feedback please
 
Attachments

  • HAKI YA MSHITAKIWA KATIKA JINAI.pdf
    1.2 MB · Views: 95
Back
Top Bottom