Nataka kujua vitu vya kula kujiboost niwe imara

Mkuu piga mazoezi ya viungo,
Especially push ups,

Daily.

Utakuja kunishukuru.

Sex ni mazoezi ya viungo.

Mwanamke anampenda sn mtu mwenye six packs.
Sababu anajuwa atakuwa mfanya mazoezi,
Anajuwa atakuwa na nguvu za mapenzi.

Mazoezi huwa nafanya fanya nikiwa na stress, napenda sana kuendesha baskeli maana ndio mazoezi ninayoyamudu kwa sasa. Once a month ivi naweza endesha baskeli ata 30kms
 
Back
Top Bottom