Nataka Kujua kuhusu Subaru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka Kujua kuhusu Subaru

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MmasaiHalisi, Aug 22, 2011.

 1. MmasaiHalisi

  MmasaiHalisi Senior Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jamii wenzangu mimi ni mpenzi sana wa gari inaitwa subaru nataka kununua sasa nataka kujua kama spea zinapatikana hapa tanzania maana kila unaye muuliza anakuambia sio gari nzuri,au spea hakuna,utakufa nayo na mambo kama hayo naombeni msaada,SUBARU LEGACY TX<cc 2000 ENGINE BH 5
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  subaru ni gari nzuri sana,imara na unaweza kutumia ktk motor sports etc.
  1-Disadvantage zipo chache sana in East Africa,hivyo basi spares zinaletwa kidogo na bei inakuwa kubwa.
  2-Mafundi wa subaru wako wachache ,sababu ni kama hapo juu
  3-jiandae kuwa mteja special ktk maduka ya spare na mafundi

  ni hayo tu
   
 3. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Nairobi unaweza kupata spare kwa bei nafuu kidogo, kwasababu wakenya wengi wana hizo gari.
   
 4. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,580
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kaka kama unataka kununua subaru..nunua..usiwasiklize sana wabongo watakukatisha tamaa..shida ni kuwa wameshazoea toyota kwa hiyo wengi akili zao zimeganda.

  ukishakuwa na subaru akili yako itachangamka na bila shaka utajua ni wapi na kivipi upate spare za bei nafuu!

  all the best mkuu..niko nyuma yako lakini mimi napenda zaidi subaru forrester, 4WD with turbo engine
   
 5. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,935
  Likes Received: 800
  Trophy Points: 280
  Mimi nina Subaru Forester, ina turbo na nimenunua mwezi wa tano mpaka leo sijui garage ni nini..ni gari powerfull sana inakula mafuta kwa wingi ila ni gari inayopendwa sana na vijana...
   
 6. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Nunua Alteza ni nzuri Subaru we ni Dreva mzuri itakuua bt njo kariako ntakuuzia
   
 7. i

  igoji Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi namiliki subaru forester, mwaka wa nne sasa haijanisumbua, kwa sasa spare zipo nyingi, unaweza kuzipata msimbazi street kuna duka lipo opposite na msimbazi eyes center na pembeni yake kuna akiba commercial bank au used spare kuna duka ilala.
   
 8. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 257
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Spare ni nyingi sana arusha kama utakosa dar
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  arusha spare ni nyingi saaana
   
 10. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,636
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Subaru Legacy b4 haijanisumbua kabisa BE engine.....spares zipo mingi. genuine spares na bei ni reasonable. nunua BH iko poa...ila kwa wese usiwe muoga. unataka station wagon au ni saloon?
   
Loading...