Gwivax Da Material
Member
- Aug 11, 2015
- 28
- 33
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Mimi nimekuwa nikijiuliza swali kwa muda mrefu sana pasipo kupata majibu. Kwa mujibu wa elimu tulivyofundishwa elimu ya msingi na Sekondari ni kwamba mwezi (moon) huzunguka dunia yaaan ili mwezi ukamilike basi ni lazima mwezi(moon) uzunguke kwa siku 28, 30 au 31.
Swali ni kwamba kuna kipindi mwezi unakuwa hauonekani dunia nzima( mfano kipindi cha mfungo wa Ramadhan) je kwa kipindi hicho mwezi unakuwa wapi?