Nataka kujua kuhusu mwezi kutoonekana

Aug 11, 2015
10
45
Habari za wakati huu ndugu zangu,

Mimi nimekuwa nikijiuliza swali kwa muda mrefu sana pasipo kupata majibu. Kwa mujibu wa elimu tulivyofundishwa elimu ya msingi na Sekondari ni kwamba mwezi (moon) huzunguka dunia yaaan ili mwezi ukamilike basi ni lazima mwezi(moon) uzunguke kwa siku 28, 30 au 31.

Swali ni kwamba kuna kipindi mwezi unakuwa hauonekani dunia nzima( mfano kipindi cha mfungo wa Ramadhan) je kwa kipindi hicho mwezi unakuwa wapi?
 
Meander

Member
Nov 2, 2010
60
95

Ni swali muhimu kujiuliza. It is a coincidence nami I had that question wakati a week ago
 
Intel5500

JF-Expert Member
Oct 22, 2019
738
1,000
.........mwezi upo palepale haundi popote....Ila wewe ndo huwez kuuona sababu ya giza linalotokana na dunia...... pale jua litakapochomoza kutoka upande mwingine na kuakisi huo mwezi ndio tunaita mwez umeandama..........
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
9,190
2,000
new moon aka mwezi mpya,

unachokiana ni 'dark side of the moon' , upande wenye kiza, :D :D ndio maana 'huuoni'

upande wenye 'kuakisi mwanga' , the other half , una face Jua

then baada ya siku 2 au 3, unaandama, 'first crescent', hapo kwa Waislam mwezi unabadilika, kama ulikua Shaaban, unaingia Ramadhanmoon.png
 
Aug 11, 2015
10
45
.........mwezi upo palepale haundi popote....Ila wewe ndo huwez kuuona sababu ya giza linalotokana na dunia...... pale jua litakapochomoza kutoka upande mwingine na kuakisi huo mwezi ndio tunaita mwez umeandama..........
sawa mkuu nimekuelewa, lakini bado kuna ukakasi hapo. kama giza la dunia ndo linaziba mwezi kutoka mwanga wa jua maana ake ni kupatwa kwa mwez sasa(yaan kivuli cha dunia kinaenda kwenye mwezi) hiki kitu hakitokei mara kwa mara, lakin kutoonekana kwa mwez inaweza chukua siku hata 30, naomba ufafanuzi hapa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom