Nataka kujua kama naweza kutumia transcript kuomba kazi ya ualimu maana vyeti bado havijatoka

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu nimetoka kucheki tangazo leo la ajira za Walimu wa Sekondari na Msingi ndo nimeona nilikua sina MB

Msaada nilikua mbali na internet wakuu.. Vyeti bado ila Kuna transcript kwa wazoefu naweza tumia transcript badala ya cheti halisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funguka sasa tangazo gani na kazi gani??

Serikalini kama huna vyeti sahau kupata kazi.

Kama mi private sector hata kama hujafika Darasa la 7 unaweza pata kazi. Ni mipango miji na mahaba tu ya ww na boss
Hili mkuu
Screenshot_20190301-185642.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimetoka kucheki tangazo Leo ndo nimeona nilikua Sina MB msaada nilikua mbali na internet wakuu.. Vyeti bado ila Kuna transcript kwa wazoef naweza tumia transcript badala ya cheti halisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Una PhD kutoka france teh teh

Umepewa cheki ya bilion alafu unaomba kazi ya kufundisha shule ya msingi...

Nilijua ni mtu yuko serious kumbe ni mjinga tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom